Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Nimeingia leo nimekutana na hii habari. Ni njema sana na ninapenda kusema kuwa nitakuwepo pamoja na wataokuwepo.,
Kama inawezekana wahusika wakuu watoe updates na kwenye email incase uwezo wa kuingia humu utakosekana kwa wengine.
Ahsanteni sana
kaby,
Utaondokea Dar au Arusha?
Jaman karibuni tanga
ngoja nikutakie safari njema mapema mana nitakua high tayari naukaribisha mwaka mpya
ahsante tutaònana huko
Jaman karibuni tanga
Jaman karibuni tanga
Kabakabana; Bila shaka kila kitu kinajieleza,na kama inakuwa ngumu kidogo kuelewa hebu peleka PM kwa Preta; ama PakaJimmy;
Thank you see u there
kuna nini uko hadi tuje!!!? mi naogopa kuwekwa ndani...
Kabakabana; Bila shaka kila kitu kinajieleza,na kama inakuwa ngumu kidogo kuelewa hebu peleka PM kwa Preta; ama PakaJimmy;
Pamoja sana...kuhusu e-mail noted...
Jitahidi kuingia jamvini, usisubiri Birthday yako tu!....utapitwa na mambo mazuri.
Mkuu upo...?