Safari ya Soweto, Cape Town, Durban na Joburg

Safari ya Soweto, Cape Town, Durban na Joburg

socket

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
305
Reaction score
435
Habari wana MMU,

Natumaini mu wazima wa afya.

Nchi ya Kusini mwa Afrika (S.A) imejizolea umaarufu zaidi kutokana na aina ya nyimbo na midundo inayojulikana kana AMAPIANO. Sio kwenye sherehe, Club, majumbani na maeneo mengi nyimbo hizi zimetamalaki. Lakini pia muziki wetu wa bongo flavor kwa kiasi chake nao umechanganya na mwisho umeleta ladha inayoburudisha (bussiness oriented). Ingia instagram kuna mabinti wanaingiza pesa ndefu kwa kutoa burudani safi (insta account tarryn.txc).

S.A kuna miji maarufu japo personally sijawahi kufika kama Soweto. Cape town, Joburg, Durban na nk.baada ya kufuatilia nimeona kuna njia nyingi ambazo wajuvi watatujuvya kwa kina. Kinachonifanya nitamani kwenda hasa ni kushuhudia kwa macho hii michezo na vibe lao.

Nimekuwa nikiona wadau humu wakitahadharisha kuhusu utapeli na mengine mengi kuhusu magonjwa ambayo naamini hata hapa kwetu yapo.

Nina prefer usafiri wa basi kwa kuwa sina haraka lakini pia nione miji mingine

Kuna dada mmoja youtube (Farhana Oberson) yeye ametumia usafiri private kutokea Kenya, Tanzania, Malawi, Zambia, Botswana to South Africa.

Wajuvi wa hizi trip naomba tupate uzoefu wenu
 
Back
Top Bottom