Safari ya RWANDA...

Safari ya RWANDA...

Mkuu Mentor haya mambo yaliyokushangaza kule kwa majirani zetu waliojaliwa watoto waliumbika yalishazungumzwa sana hapa jamvini ili yafanyike kama wanavyofanya hao jirani zetu katika jitihada za kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali ambazo haziongezi tija kwa Watanzania lakini hii Serikali taahira Ooops!!! Serikali sikivu haimbiliki hivyo bado hizi gharama kubwa mbali mbali bado zinaendelea mwaka nenda mwaka rudi bila huruma yetote ile kwa walipa kodi.

Waache majirani zetu wa Kinyarwanda waridhishwe kwa asilimia kubwa na utendaji uliojaa ufanisi mkubwa wa Serikali yao ukilinganisha na hii Serikali yetu ambayo utendaji ni SIFURI.

Mentor:mkuu imeangukia siku mbaya.Ikifika saa sita mcha naamini utabadili maelezo,eti ni siku ya wajinga,Aprili Mosi...
 
Last edited by a moderator:
mi mwenyewe kama system haitachenji i wish to be mbunge aiseeh au waziri even kimagumashi,siasa TZ inalipa sana,Mentor unafikiri kwann kila mtu anakimbilia siasa ukianzia wakulima hadi maprof!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Safari ya Rwanda yenye mazuri ya kuiga ili kuleta maendeleo, mfano kupunguza matumizi ya uendeshaji wa serikali na mengine sio ya kuigwa ama kuendekezwa mfano nyumba ndogo nk.

Nikisoma hii story nakumbuka tena Mentor utao lini?. Kuna uhusiano hapo ama?

Bado nipo nipo sana kaka Lyagwa...saaana!!!

Wee mentor Nivea hapatikani toka ijumaa kuu sijapata habari zake hata kuona comment yake.
Mentor we kama ukipata mtoto wa kinyarwanda beba tu there is nothing to fear than fear itself. Akina Nicas si ajabu wako booked mentor

bro kamkamata kisawasawa si unajua analipizia games anazokosaga during the week.
As for Nicas, I think he is jus fresh in love..atazoea tu!!!

Who cares....

They don't, we don't, you don't, i don't...but for how long RR ??
 
Last edited by a moderator:
Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.

Eti nini mkuu?

Kwamba kwa vile tuna rasmali, basi hata tukiongozwa na malofa wasiojua tofauti ya mchanga na dhahabu ni sawa??

Kwa mfano wako, China na USA ndiyo zingekuwa malofa zaidi katika hii dunia....lol!
 
Bado nipo nipo sana kaka Lyagwa...saaana!!!

bro kamkamata kisawasawa si unajua analipizia games anazokosaga during the week.
As for Nicas, I think he is jus fresh in love..atazoea tu!!!

They don't, we don't, you don't, i don't...but for how long RR ??

Hadi hiki kizazi cha malofa, walafi na wezi kikitoweka chote....

Labda kitu kama Tsunami kingesaidia..
 
Thanks kwa kutujuza juu ya safari yako ya Rwanda.Huku kwetu ni kichwa cha mpumbavu thats why hata hatufurukuti kwa uchumi wa Rwanda pamoja na raslimali zote tulizonazo pasi na kuwa na vita kama Rwanda.
 
Yaani hata ukimpambanisha Rais wetu na wa Rwanda,wa kwetu atapigwa ngumi za uso mpaka asahau Magogoni kama iko Tanzania au Rwanda.
 
Mentor ni mfanyakazi wa serikali katika wizara moja hapa nchini. Mentor anafanya kazi muhimu sana ya kuhakikisha bosi wake anafika mahali anapotaka kwa muda anaotaka (Well, wakati mwingine Mentor huchelewa na kugombezwa sana). Ila mentor anafurahia sana kazi yake maana inampeleka sehemu mbalimbali nchini. Watu humuita Mentor, dereva.
oooh..kumbe
 
Mentor:mkuu imeangukia siku mbaya.Ikifika saa sita mcha naamini utabadili maelezo,eti ni siku ya wajinga,Aprili Mosi...

Mhhh u clearly have not read between the lines brother...

Ukiacha upuuzi wa Rwanda kwenye baadhi ya mambo, ila kwa uwajibikaji hawana mfano...

Juzi tulikutana na Kagame anatoka Ikulu, yaani kwa Bongo ulikuwa kama msafara wa msanii wa bongo movie...

Hakuna mbwembwe hata kidogo na magari hayakuzidi 8, pamoja na kwamba alikuwepo pua my wife wake..

Babu Dark City, nashangaa why we can't copy hivi vizuri kutoka kwa wenzetu...

Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.

Oh nooo babu Dark City, huyu mjamaa tuseme ndo anakuwa mbunge wako unadhani atataka mabadiliko from the status quo? Eti tufuje kwa sababu tunazo nyingi..WTF!???

Mkuu RUTAJUMBUKIRWA, i hope u didn't mean any of the things u jus wrote..esp the bold one!!!
 
Last edited by a moderator:
yn hi post umeiweka katika jukwaa zuri sana!hongera kwa hilo ujumbe utawafikia vîzur tu maana jukwaa la siasa hawapitagi siku hizi!
 
Hadi hiki kizazi cha malofa, walafi na wezi kikitoweka chote....

Labda kitu kama Tsunami kingesaidia..

Babu naogopa kuongea sana nisijeshitakiwa kwa kosa la uhaini..lakini i wish more than that would happen!!! oooopsss.:tape2:

Yaani hata ukimpambanisha Rais wetu na wa Rwanda,wa kwetu atapigwa ngumi za uso mpaka asahau Magogoni kama iko Tanzania au Rwanda.

Hahaha...mkuu wa kwetu kanali ujue!lol

oooh..kumbe

Kumbe ulikuwaga na hamu ya kujua mkuu!??
 
yn hi post umeiweka katika jukwaa zuri sana!hongera kwa hilo ujumbe utawafikia vîzur tu maana jukwaa la siasa hawapitagi siku hizi!

Hahaha huwezi amini sikuwa nimenotice imekuwa-moved..Jana niliiweka kwenye Habari na Hoja mchanganyiko..I think Paw mume ya King'asti ameihamisha...
 
Last edited by a moderator:
Kulinganisha Rwanda na Tanzania haifai kabisa. Ni kulinganisha vitu viwili ambavyo havioani.
Rwanda ni nchi ndogo na haina raslimali. Ili i survive, they need to be competent and highly organised. Tanzania ni kubwa na ina raslimali. Even if kuna squandering, still nchi itasonga mbele.

Sikubaliani na wewe mkuu!
Anayethamini kidogo hata akipata kidogo atakithamini tu...lazima tukubali kuwa wale jamaa wametuzidi SANA katika nyanja mbalimbali zinazohusiana na NIDHAMU ya matumizi ya kiserikali.
 
Mhhh u clearly have not read between the lines brother...

Babu Dark City, nashangaa why we can't copy hivi vizuri kutoka kwa wenzetu...

Oh nooo babu Dark City, huyu mjamaa tuseme ndo anakuwa mbunge wako unadhani atataka mabadiliko from the status quo? Eti tufuje kwa sababu tunazo nyingi..WTF!???

Mkuu RUTAJUMBUKIRWA, i hope u didn't mean any of the things u jus wrote..esp the bold one!!!

Yaani jamaa kanishangaza kinoma ndugu yangu...eti hata tukifuja haviwezi kwisha? Kweli?!
Tanzania bado tuna safari ndefu kama tutaendelea kuwa na watu wenye mawazo kama ya huyu Ruta!
Anyway, mkuu mchunie unaweza kuta ndo bosi wako afu ikawa soo kesho kazini tena.
 
Back
Top Bottom