Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Ndugu wanajamvi wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia, historia tajiri, na uzoefu wa kipekee wa maisha ya porini.
Kama mnavyokumbuka, kulikuwepo mpango wa awali wa kutembelea Mount Kilimanjaro National Park, ambao haukufanikiwa kikamilifu kutokana na changamoto za kiutendaji. Hata hivyo, kutokana na muitikio chanya wa wanajukwaa wengi mlioonesha nia ya kushiriki, leo narudi na proposal mpana zaidi – safari ya mseto wa vivutio sita vikuu vya kipekee barani Afrika.
🧭 Vivutio vya Safari hii ni:
1. Mount Kilimanjaro (The Roof of Africa) – Safari ya kupanda mlima mrefu zaidi Afrika, iliyojawa na hewa safi, utulivu wa kiakili, na mazingira ya kiikolojia ya aina yake.
2. Serengeti National Park – Mahali ambapo utashuhudia the Great Wildebeest Migration, pamoja na big five (simba, chui, kifaru, tembo na nyati). Upekee wa mbuga hii hautosahaulika.
3. Ngorongoro Crater – Moja ya maajabu ya dunia, the world’s largest unbroken caldera, yenye uoto wa asili usioguswa na maisha ya wanyama pori katika mazingira ya kipekee.
4. Tarangire National Park – Maarufu kwa tembo, landscape yenye miti ya miombo na baobab, na safari (game drive) zinazovutia wapenzi wa nature photography.
5. Arusha National Park,Tofauti na nyingine, hii inatoa mchanganyiko wa milima, ziwa (Momela Lakes), na misitu. Ni nyumbani kwa Mount Meru – mlima wa pili kwa urefu Tanzania.
6. Chemka Hot Springs (Kikuletwa) Hidden gem ya asili, yenye maji ya moto ya rangi ya samawati, perfect for relaxation & swimming. Ni mahali pa detox ya mawazo na kutuliza akili.
7. Serval Wildlife Sanctuary, A luxury eco-tourism destination, ambapo unakutana na wanyama kama giraffes, ostriches, zebras na antelopes katika mazingira salama na rafiki.
🎯 Lengo la Safari:
Kujenga connection kati ya wanajamvi wa JF kupitia shared experience.
Kuongeza uelewa juu ya natural heritage ya Tanzania.
Kutengeneza mental reset kupitia nature therapy.
Kukuza utalii wa ndani na kuunga mkono jitihada za conservation.
📬 Ushiriki:
Naomba kwa heshima, kwa wale wote watakaopendezwa na hii safari (iwe ni sehemu moja au mchanganyiko), nitumie ujumbe binafsi (DM) kwa maelezo zaidi ya logistic, cost sharing, tarehe, na package details.
Pia nawaomba sana viongozi wetu wa JamiiForums – admins na mods – walipokee hili wazo kama nafasi ya kuimarisha urafiki wa kijukwaa, utalii wa ndani, na mafungamano ya kijamii yenye tija.
“Travel is the only thing you buy that makes you richer.” Anonymous
Twende tukajitambulishe na kujiburudisha. Let’s explore Tanzania through a new lens.
Karibuni sana.
🟢 #ExploreTanzania #JFAdventure #NatureTherapy #KilimanjaroToChemka #TembeaTanzania