Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,182
Mimi si Boya huo in mtazamo wako ambao Sikubaliani nao. Sio story ni real life.. Imekuja twice..sio kosa langu ni phone
dogo halafu siku nyingne usipende kulemba sana..
Unatongoza mwanamke mara ya kwanza akikuchomolea mlie target mara ya pili akichomoa tena achana naye
sku nyingne utakuja kuparamia gonjwa mtu akikataa huwez jua anakuepusha nn.
Halafu hayo mambo ya kujifanya wazungu unabeba matakataka sijui maua sijui mikeki yann??
Ww piga sound weka mkwanja mezan tayar utaona mtu yupo kibra..
Sasa ww jjifanye mzungu wakat ni mweusi na huyo unayemfanyia uzungu wala hana time na uzungu wako.
Utaishia kuwalishia wenzako huku wanapiga kilaiiini