Safari ya mateso katika mahusiano yangu

Safari ya mateso katika mahusiano yangu

Isee unaweza ku summarize hii story yako, maana ndefu mno hadi kero kusoma

Pole Jamaa.. Ni ndefu kweli lkn nlitaka iwe hvyo ili kila stage nliyopita yawezekana kuna MTU anapitia ili ajifunze kitu na kufanya maamuzi.. Si lazma kuisoma kama imeshakuwa kero
 
Eeh bwana eeh! Pole sana ila sijawahi kuona popoma katika mapenzi kama wewe.

Asante.. Popoma I dn know de meaning.. Ila narudia we r different. Watu tumetofautiana ili Maisha yasonge. If U r not different u r not needed.
 
Duuuh...mi nimeruka ruka..ila nimesoma pale wanawake wote iliwaona wanaume...hahahahaha...siku nyingine jirekodi basi hii ndefu mnooooo

Kama unataka kujifunza wenzako wanaishije soma full story utapata kitu. Ni ndefu coz nshatoa Maelezo kwenye Moja ya comment.
 
Duuuh, aisee. It happens once in a life time. As for me sasa hata nikistuka saa 8 usiku nikijisikia kukuacha nakupigia usipopokea natuma msg kwamba umestaafishwa kwa manufaa ya umma.
 
Pole sana good girls love bad boys.
U gentle man unawaboa wanawake

Ahaa kumbe. Ila naamini sio wote.. Wapo wachache wanaofall gentle man.. Cjaumbwa kuwa bad boy.. Na siwez kuwa bad boy.. Kama hakuna msichana wa kunifaa sio lazma nkawa bad boy ili kuwa plz.. Na sio lazma kuwa na Mahusiano naweza nkakaa mwnyw. Cz r'ship z abt choice.lyf z very short Cwez nkaacha kuishi maisha yangu kama gud boy niige maisha ya bad boys 4 the seek ya kuwa na mahusiano.I am responsible for ma lyf.. If I live their life who will live myn?
 
Ndorooobo wewe kupenda gani kwakipumbavu hivyo umeaibisha MANHOOD

ahaaaa mm mtu akianza vistory vya mapenzi kuwa alianza secondary bas nakata tamaa ya kusoma bandiko lote. Lakini kilichomponza dogo ni utoto. Sasa atakaempenda sasa ivi hayo ndo mapenzi. Loh mapemzi kama amerogwa mleta uzi sikupi pole yangu mpaka siku akileta uzi mwingine kuwa kakua.
 
Duh!! Asee,
Ndugu yngu umeumizwa hasaa....na umevumilia kweli c kidogo.

Utapata atakaeendana na wewe."there's always som1 for every1"

Thanks Men.. True DAT.. Every Adam has his Eve.. Salute
 
Moshi ni kwenu asili yako au unaishi tu wew sio mchagga????? wachagga hawapo hvi jamanii aisee mchagga kabisaa awe zoba hivi cjawahi ona
 
Duuu pole sana kijana umenifanya niya chukie gafla mapenzi na haswa wadada! Lakin pongezi kwangu kwa kumaliza kusoma hii stori toka mwanzo
 
Mkuu pole sana, hata mie yamenikuta haya ni matokeo ya kubaki njia kuu, ukiwa playboy you don't give a damn...
 
Wise person nakupa pole kama ni true story! Huyo mwanamke amekusoma na amejua udhaifu wako. She will play with yuor heart like she's playing with a toy. Si ajabu pamoja na yote hayo ulotueleza akarudi tena kwako ukampokea! You know what? Let me advice yuo. Anza na kujenga chuki juu yake,chukua ubaya wote alokutenda alafu hakikiksha kila ukimkumbuka unachukia matendo yake happ ndo utaweza kujinasua. Vinginevyo hutaweza kumpa nafasi mtu mwenye mapenzi ya kweli. Be a man kua achana nae futa mawazo juu yake kabisa.let her go for good dont dare to change your once she comes again
 
Back
Top Bottom