Mmmmmmmh aiseee hii kitu ni noma mzee khaaaaaaaa, huyo angel ni sumu, Anyways bro, next tym unaangalia na upepo man, hta kama unampenda mtu vipi if she doesnt give back ni sawa na bure, mpende akupende if she doesnt, SAVE IT ukilazmisha ndio kulia kunafata, pia umekiona chamoto, u hv learnt in a very hard way, mtu kaa ww ni ngumu sana kuyumbishwa in relationshps zngne, ukiyumba utakua boya!!! Be a man samtyms, U let it go, U tried sana buh huyo babe katili, hvi ulikua huoni anazngua ungefyt na wana wangapi??? Wanawake wazuriii wengi tu mjini hapa, mpge kwenye dust bin abakie as a woman u hv ever loved PERIOD!!! Ila kulia acha Brother, na pia tunaliaga ndio ila cyo kiviiiiiiiiileee unafuta buti unatambaaaa mbele, KUA MWANAUME MAANA YAKE WW NI CHUMA, HUPINDI KIZEMBE UNAMALIZWA NA KUTU TU,