Safari ya mateso katika mahusiano yangu

wengine maumivu mnajitakia dalili ya mvua uliiona mapema ila ukakaidi na kuendelea kujenga nyumba ya tope. pole. Wiseperson
 
Last edited by a moderator:
Mmi sipendagi hizi hadithi zenu zinanifanya najikuta nimevaa uhusika bhana. Sasa siku nyingine usipende kibwegebwege hivyo. ILA kama Ni Kweli you went through this pole Sana I know the pain dogo
 
Pole mwaya apo me nmejifunza vitu vingi ila ulipenda sana na uyo angle alishajua udhaifu wako ndo mana kakuchezea akili bt naamini umejifunza jambo autakua kama zamani ila pole sana tena pole sana
 
Ila usijali mkuu, atarudi tu huyo muda si mwingi. Naomba akirudi tujulushe pia ili tukushauri matusi ya kumtukana
 
hyo ni story ya maisha na kila mtu ana stori yake/zake cha msingi jiulize mke wako wa ndoa atakua nani? Mungu amekupangia nani? maana huyo ni wewe ndo ulijipangia future wife, ucjali Mungu atakupa tu mwanamke mzuri atakaekufariji for the rest of ur life, muombe Mungu
 
Habari Za Saa wanajukwaa.
Poleni na Majukumu ya kila siku katika Ujenzi wa Taifa na Ustawi wa Maisha.

Ninashukuru kwa Michango na Mawazo mbali mbali ambayo tumekua tukipeana na Kushrikishana kila tunapopata Muda.

Mahusiano ni Mazuri sana ila pia yanachangamoto sana.. Yakuhitaji saa nyingine kuwa na Moyo wa chuma in order to survive na Mambo yakae Vizuri katika Mahusiano yako.. Ingawaje wengi ni ngumu kuwa Wavumilivu. Leo nimeona shirikikishe Sehemu ya mahusiano yangu pengine kuna MTU anapita katika kipindi kigumu kupitià uzi huu unaweza kutusaidia na kutuponya kwa sehemu Naamini pia kuna kitu cha kujifunza.

Mimi ni kijana Mtanashati mwenye Muonekano Mzuri.. Ktokana na watu wanavyoniona na kuniambia anyway ninamshukuru Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo ni kwa Mapenzi yake hii ni sehemu ya story hii so sipo OP (out of point)

Mnamo Mwaka 2012 nilifungua ukurasa Wangu Wa Mapenzi kwa kuingia kwenye Mahusiano na Mpenz wangu (jina nimehifadhi) nitakumia jina (Angel) niliempenda Sana sana na Kuamini tutakuja kuoana kutokana na tulivyopendana istoshe Mimi kufahamika na Kukubalika kwao na yeye pia kukubalika kwetu. Angel Alikua Mkoani kilimànjaro na alikua akisoma A level (form six)..Mimi Nilikua jijini Dar nilikua nasoma Chuo (2nd year) Nilikuwa Muaminifu sana kwa Angel skuwahi kumcheat hata siku Moja kwani na Nnajielewa na Najiheshimu na Nilikua na Muheshimu nakuheshimu sana Mahusiano yangu. Nlijitahid kwenda Mkoani kumsalimu kila Nlipopata Nafasi na wakt mwngine nilijiiba na tulkua tumekaribia UE nkafanyia kama Suprize kwa kuibuka Mkoani bila yeye kujua na kumfanyia Birthday party nzurii. Kiukweli nlimpenda sana na sikuona Mwingine wakutake her place in ma Heart.

Angel alikuwa Mrembo sana sanaa na Ukweli nilimpenda sana toka akiwa form 3 lkn sikumwambia chochote nlijitahidi tufahamiane kwanza..then kwakua anasoma nitamtongoza Muda sahihi Ukifika. Ukweli kujuananae ilkua mbinde sana alinisumbua sana Mwanzon wakat nikimfuata ananikasirikia bila kosa. Majibu ya Mkato sana. Wakt mwngne Abadilishe njia kila akiniona kweli ilkua changamoto sana sana

Ila sikukata tamaa. Ilifika mahali akajishtukia coz nlimuona anahisia na Mimi ila anachofanya ni kuhujumu hisia zake. Muda ulifika uzalendo ukamshinda akakubali ya ishe coz nlifuatilia bila kuchoka kama kivuli chake. Tulifahamiana na tulikuwa Marafiki wakubwa nlimsaidia kwa upande wa elimu kutokana na yy kupenda sana kusoma. So nlimpa vitini vyangu kama vya Geography, chemistry nk. Nakumuazia kwa friends wangu vingine wkt nkiwa form 5 coz tulkua tunakaa mkoa mmoja kabla ya mimi kujiunga chuo Dsm.

Angel alikua ananiambiaga hana mtu na hataki mahusiano mpk amalize kidato cha nne nlifurah coz nkaona soon ndoto yangu itatimia akimaliza tu 4 nnae. Sasa akiwa form 4 wakat wanamalizia kufanya mitihani ya Necta ilikua practical ya mwisho na walkua wanatoka mapema kwenye SAA 5asbh. Kuonana na Angel ilkua vigumu sana kipnd hiki na tulkua tuonana Mara nyingi kanisani na kwao palkua no mbali kidogo na kwetu so sikuwa nimamuona mda mref kidogo. Kumbuka Mimi nlikua Advance na tulkua time fungi shule so kuna ujumbe wa muhmu sana nlitaka nimpe. Nikamvizia akitoka shule kwny practical niongee nae nlimwambia toka jana yake kupitia cm akakubali.. Nlikua kwa mbali na face gate la shuleni kwao akatoka clasmate mwnzie wakiume akaenda kukaa nyuma ya fensi ya shule ghafla nkamuona na Angel katoka akenda kulekule.. Nkamfuatilia nkamuona wameshikana mkono na jamaa wakaongea mpk wakamaliza alipogeuka nyuma face 2 face akaniona akashtuka.. Nkafuata nipo so relaxed nkamsalimia akaanza kupanic na kuniambia unataka nini? Nkamtuliza bila Mafanikio nkamwambia twnde nkusindikze home tuongee hatuwez kusimama hapa barabarani

Akakataa katakata akasema basi isiwekesi wakat nataka kuanza kumpa ujumbe walitokea tena wavulana wawili wa shuleni kwao wakaja tulipo wakanisalimu nkaitika Angel kwa dharau akaniangaliaa afu akamshika mkono jamaa mmoja kati ya hao wawili akamwambia tuondoke huku mimi wameniacha nimesimama palepale.. Iliniuma sana nkaondoka nkarudi home na kujiapiza simtafuti tena labda yy anitafute. Usiku alinitafuta mwnyw na kuniomba msamaha sana coz sikuwa nmemkosea chchte mpk anifanyie vile me nilimsamehe bila kinyongo na akaniambia hana boyfriend yyte kat ya wale nikaitika tuu ila sikumwambia tena ule ujumbe nliotaka kumwambia cku ile pamoja na kunibembeleza sana.

Nilitulia.Baada ya wiki moja toka Alipomaliza form 4 nlimtamkia kilichokua Moyoni toka siku nyingi Kwamba ninampenda na Ninamuhitaji kwa future pia. Inaelekea alkua ameshanisoma. Ila Alinikataa. Na kuniambia nimechelewa anamtu Wake kweli iliniuma sana sana. Nikamwambia hatakama Mimi ni MTU wa 100 kuja kukutamkia nakupenda haijalishi nimekuwa wa kwanza au wa Mwisho kama unanipenda still utakua unanipenda tuu.. Kuwah z nat a big deal lkn alinikataa Kabisaa. Iliniuma sana. Na baada ya hapo alikua akinipa vubiti sana hapokei simu zangu wala text harply dharau nyingi majibu mabaya sanaa sana akiniona ananikimbia hataki tuonane so alkua ananikwepa Sana'a.. Nkasema kupenda ndo imekua kosa kubwa kiac cha kuadhibiwa kiasi hiki? Ukweli Iliniuma sana.

Wakati namaliza form six Angel alikua bado katawala Moyo akili na still alikua kila kituu wangu. Nlipomaliza six nlikua na nampango wakuja Dar coz hapa pia ni home so After graduation nlipanga kuondoka 3 day later. Graduation tulifanya after paper jmoc.. J3 jioni nkaenda kwao kumuaga kwamba j4 yaani kesho yake nang'oa.. Alilia sana na kunikumbatia kiss sana ila alishindwa kua admit kuwa ananipenda coz aliniambia haaamini mapenz ya mbali Nliamini bado anaweza kuwa wangu sikuhiyo nikapiga saundi tena nkamwambia we can try me. Akakataaa nliumia sana nkasema poa tuzidi kuwasiliniana akaniambia atanikumbuka kwa mengi na lazima tutawasiliana nliona atlist kuwepo na communication.

J4 asubuhi ndani ya Dar Express natoka Moshi kilimanjaro Machozi yakinitoka Moyo huzuni kubwa ni kumuacha Angel, Moshi nlihis kama nimeuacha Moyo wangu au sehem muhimu ya Maisha yangu pale Moshi. Nilijipa Moyo ila Mawazo hayakuniisha. Nlifika Dar physical lkn kimawazo akili yangu yote ilkua Moshi kwa Angel.. Hasa nikikumbuka ni Jana Usiku tu tuliagana n nlipata kiss for the very first tym toka kwa Angel wow t was so Amazing so sweet hasa
Kwa msichana nliempenda sana t was lyk dream come true..

Tuliendelea kuwasiliana kwa muda kama 3weeks tu..baada ya Mimi kufika Dar akachange completely nkaanza kunikatia simu bila sababu nyodo nyingi dharau Sana'a kama mwanzo iliniuma sana me nlikua na expectations kwamba kwa Mawasiliano still naweza nkamkonvice hata kwa slight chance akawa wangu.. Lakn matumaini yalipotea kabisaa has a baada ya siku Moja kumpigia simu na kuniuliza "wewe n nani" namba yangu alikuanayo nkamjibu Mimi ni Wise Person Dear kwa kujikaza.. Alikata simu na kuzima kabisaa nlituma txt mpk button za simu zkafutika herufi bado Haikusaidia nilimpenda Angel tu wasichana wngne wote nliwaona kama wavulana tuu.. Kila Siku nlikua naiangalia picha yake rafk, mama na Ndugu walinishauri nimpotezee asee nlikua naitikia tuu sisikii.

Matokeo ya six yakatoka nkawa nimefaulu ingawaje paper nlifanya kwa stress ya kutoswa na Anjela but Namshukuru Mungu nilifaulu vizuri. Nikamtafuta Angel nimpe gud news labda atafurah na kunisikiliza tena wapi.. Ndo kwanza aliamuakubadili hadi line ya simu. Ckumpata ila Moyoni bado alikua anaishi na nilikuwa tayari kumpokea Wakt wwte akirudi. Nilifanya Application TCU na kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Moja ya vyuo vikuuu hapa Tz chuo hicho kipo hapa Dar. Nlianza Masomo ya chuo 2011 nkichukua Bachelor Degree Of Human Resources Management(BHRM).

Kna rafiki angu class mate alikua anamshaji wake ambae anasoma A level Moshi Bahati nzuri alikua anasoma na Angel skul Moja Nina Mshukuru Mungu Angel alifaulu vizuri form 4 na Mimi najivunia kuwa sehemu ya mwezeshaji kwenye ufaulu wake ingawaje hakuniambia kma amefaulu wala kushukuru kwa msaada wa kimasomo nliompa kipindi kile nlisema ts fyn hana haja ya kunishukuru coz now am nothing to her so furaha yangu zaid ni kwa yy kufaulu sio kunishukuru. Sasa huyu dogo alikua anamfahamu.. Ofcoz anafahamika zaid kutokana na kua alikua mrembo sana. Huyo dogo akawa anatupa story kuhusu Angel kwamba ni penda penda mbaya. Hatulii na mwanamme mmoja Leo yuko na huyu kesho na Yule even though ukimuona huwez kudhania coz ni mpole mno kwa kumwangalia. Nlizidi kuchoka kila taarifa nlizokua napata kuhusiana na Angel zilkua ni negative zakukatisha tamaa hakuna taarifa njema.

Taarifa zile zulinichosha nikaamua kufanya Maamuzi Magumu badaa ya kuprove kuwa ni za kweli kwamba staki kuziskia tena na nimemuacha aendelee na Maisha yake na Mimi na Yangu. Awe huru kufanya anachotaka coz evryting in lyf z abt choice. After all she nat my Fiance or wat? she z jus a friend. Ilinichkua Muda kuaccept uamuz huo hasa ukitegemea Moyoni in yeye tu anaishi na sikuwa na Mwingne bt that the way t z I choose to be happy I said ma self inatosha. Toka najiunga chuo sikuwa nimebahatika kupata Mkopo so Mwaka 2012 nilisafiri kwenda Moshi fuatilia Masualwa fln ambayo yangeniwezesha kupata Mkopo. Hapo bado Angel yupo Moyoni japo si saana kama zamani. Nlifika Mo Town.. Nkafuatilia kilichonpeleka kwa 1week then nkawa najiandaa kwa safari ya kurudi Dar kesho yake ilkua Alhamis nkaona ni vizuri niende kwakina Angel jus to say hi.. Niondoke.. Nilienda na nlipofika bisha hodi Bahati nzur nkamsikia Angel anasema sukuma gate ye alikua kaa kuliface gate huku anafua nguo Zake za shule. Duh! (Kazid kuwà mrembo) Kuniona alihamaki na kufrahi sanaa akawa kama anataka kuchanganyikiwa sijui aliwaza hatutakaa tuje kuonana bt kabla ya kuondoka kipindi kile nlipo malizaga six nlimwambia One day I ll come back for U. So akawa kafurahi sana kama Nape kupiga Bao la Mkono hata Mimi nlifurah lkn nlikua nmerelax tu. Tuliongea Mambo Mengi Sana nilihoji yeye kunifanyia yote Yale nlkosea nini? Akatubu na kuniomba Msamaha sana nkamwambia nlishamsamehe so akaniuliza kama Nina MTU au nkasema sina akaniambia akiomba nafac kwa Heart yangu IPO? Nkamwambia ntamfikiria. Akaniomba ni mkubali sasa cjui alikiona kipi kwangu ambacho hakukiona awali sasa ananitongoza kwakujishtukia.. Nlimwambia anipemuda lkn moyo ulitaka nimkubali pale pale nkajimbia no let me be patience na yy ahangaike kidogo. Nliongea na Mama yake. Then tukaagana na huku akinipa hotest kiss Ever..naita kiss of the year

Nliondoka natafakari ile kiss njia nzima nmeshika mdomo duh! Usiku mzima. Anyway Nlisafiri kesho yake kurudi Dar. Huku mawazo yakiniteka ya Angel tuu. Baada ya wiki Mbili tulkua tunawasiliana cku moja j5 usiku kuamkia alhamic tukajikuta tumefungua ukurasa Mpya wa mapenzi kati yetu.. Angel wangu Mimi wake nlifurah sana nlitamani ningekuwa nasoma moshi bado. Tulipanga mengi akaniambia Mamake jinsi anavyonikubali na ndugu zake.. Kipich hiki alkua form sx.

Tukazidi kuwasiliana na mapenzi yetu japokuwa yalikua ya simu bado yalikua Matamu kaapa hatokuja kuniumiza hajaona kama Mimi sifa kibao na Mimi vile vile.. Siunajua mapenz yalivyo? Akaniambia anataka akimaliza 6 aje Dar kusoma chuo ilituwe karibu. Nlifurah kuskia hvyo na kuna Màmbo mengi sana yalihapen kipnd hcho ikiwa ni pamoja na Mimi kwenda kumsabah na kumfanyia amazing Birthday party nkiwa na Best Man wangu Bobuno. Alifurah sana coz ilkua ni Suprize yy alijua nipo Dar bt nkiwa sijamuwish chochote na akiwa kajaa Hasira Aliniona nimesimama getini kwao SAA 7pm nmeshika kadi kali Bobbuno kashika Cake wakt anashangaa kiss ya hatari ika2a shingoni na whisper words happy birthday my Love. Tulienjoy sana especially yeye akaadmit hajawah fanyiwa kitu kama hicho.. Hapo nlitimba Moshi j3 na j4 tukafanya Birthday then alhamc nkarud Dar kujiandaa na UE j3 ya next week.

Nlijiandaa vyema na nkafanya Mitihani. Mpk nkamaliza Angel wakat huo akiwa kamaliza six Kutiana Moyo na kuombeana Sana, Pamoja na changamoto zlizokuwepo kuna kipindi alikua akiniambia watu waliokua wakimfuatilia na Anasema anawakataa me nkawa naamini coz in rship U must be positive. Angel nilijikuta nimejua sana kiasi kwamba akinidangaya Najua pamoja Niko mbali nae. Kuna kipindi alikua na mahusiano na Jamaa mmoja waliemalizanae six (Nina nahifadhi) ntamuita John lkn nligundua baada ya kuona Mawasiliano yanapungua kuna mambo yalichange bt nlinotc cz huwa niko vry carefully na sensitive sana kwny rship yangu so hata change kidgo ntajua tu. Baada ya kugundua yupo John nliumia sana nkamkemea aache alilia kwny simu akaniomba nisimuache na akasema anamwacha kweli baada ya kumpa muda tulirudi at the peak.. Huku akini hakikishia wameachana na John. Sikuwa na jins zaid ya kuamini kumsamehe coz bado nampenda sana nà kumpa another chance.

Baada ya Muda Angel alipangiwa kwenda Jeshi kambi ya Tabora. Alikwenda na alikua akijiiba na kutumia simu kuwasiliana na Mimi kipindi akiwa jeshini. Badaa ya Miez kadhaa walitoka jeshi kurudi nyumbani kujindaa na chuo kwani wakati huo matokeo yao yalkua yametoka Na Mungu alimsadia akafaulu akachagua vyuo Vingi vya Dar ili aje awekaribu na Mimi. Kweli alipangiwa Dar chuo flani hapa mjini cha mambo ya Afya ni chuo kikubwa kibwa tu. Siku anakuja Dar nkaenda Ubungo kumpokea pamoja na wenyej wake aliokua amefikia kwao nlifurah sana kumuona hasa pale alipokua akishuka ndani ya Mtei Express Angel alifurah zaid ya Wenger kumfunga Mourinho. Baada ya muda kdogo aliondoka na Ndugu zake hao nikiwa na Miadi ya kuonana nae kesho yake. Huku nkimuachia kama 10000 ya nauli. Nlirudi kwa bro Ubungo river side na wao wakaenda zao kijitonyama ikiwa ni SAA 11pm wakt tunachana cku hyo.

Kesho yake Ilkua jpili baada ya kutoka church nlijiandaa then Mchana nkaenda Mahali tulipo ahidiana tukutane napo ni Mwenge kwenye jengo la Mwenge Complex. Nliwahi kufika kwenye saa 2pm nlishafika kutoka na shauku kubwa nliyokua nayo kwake yeye alichelewa kidgo alifika kwenye SAA 3pm kutokana na kuwa mgeni wa Jiji na ilkua mara yake ya kwanza kufika Dar. Daladala kwake zlimchanganya kidogo. Tulifari sana siku hyo nlitoka nae mpk maeneo tulivu Masaki, Coco beach hii apa. Tuliongea Mengi na kuinjoy sana Siku hyo. Ili nlikundua kuna kautofauti flan 4n yake alikua akiificha ficha sana nkamtulizia tu ili asije akaharibu cku.. Wakati tunatoka batani night kwny saa 9pm nlimvizia nkampora simu yake nkaanza kuhangaika Sana'a.. Nmeishika tu nkamuliza tatzo nnini akasema hamna hapo nmeshika tu sijaifungua. Then nkamrudishia akachkua afu akawa anambia babe Hamna kitu ananiuliza unataka kuitumia chukua ananipa tena nkajifanya naikataa akawa kama ananlazmishia kidgo.. Nkaichkua afu nkaenda kwenye txts mbele yake akapanik sana akaniambia Babe utakachokuta huko I 'll explain nkakaa kimyaa nkasoma text zote nkagundua yupo na Rship na John alyeniambiaga waliachana nkàmrudishia 4n yake afu sikuongea coz nliumia sana sana Ukitegemea kwamba nlikua Nampenda sana mind U sjawah kumcheat hata cku Moja hata kwa Mawazo tu cjawah. alianza Ku explain nkamwambia don bother.. I don't ask for it. Nkamwambia tembea haraka tumechlewa home nlikua namsindkiza kwao. Angel Alianza kulia sana pale barabarani akanipigia Magoti me natembea yeye anifuata kwa Magoti.. Nlipogundua nlimnyanya haraka nkamwambia si stahili kupigiwa magoti me ni Mwanadamu Mungu ndio wa kupigiwa Magoti. Alizidi kulia sana hataki kutembea. Pamoja na Uchungu nliokuwanao nlijiuliza Mimi ni nani mpk nisisamehe nlimsogelea nkamkumbatia nkamwambia kwa upole Nimekusamehe.. Hakuamini but nilikua nmesamehe from my Heart.. Alifurahi sana ingawaje sikupata Amani ya Moja kwa moja wakt huo.. Nliwaza mengi sana Moyoni hakuna alichokosa kwangu Nilimtimizia Mahitaji yake kadri Uwezo wangu ulipofikia.... No way!! Nikafanya Maamuzi Magumu.. Niyapi? Nitaendelea..
Habari Za Saa wanajukwaa.
Poleni na Majukumu ya kila siku katika Ujenzi wa Taifa na Ustawi wa Maisha.

Ninashukuru kwa Michango na Mawazo mbali mbali ambayo tumekua tukipeana na Kushrikishana kila tunapopata Muda.

Mahusiano ni Mazuri sana ila pia yanachangamoto sana.. Yakuhitaji saa nyingine kuwa na Moyo wa chuma in order to survive na Mambo yakae Vizuri katika Mahusiano yako.. Ingawaje wengi ni ngumu kuwa Wavumilivu. Leo nimeona shirikikishe Sehemu ya mahusiano yangu pengine kuna MTU anapita katika kipindi kigumu kupitià uzi huu unaweza kutusaidia na kutuponya kwa sehemu Naamini pia kuna kitu cha kujifunza.

Mimi ni kijana Mtanashati mwenye Muonekano Mzuri.. Ktokana na watu wanavyoniona na kuniambia anyway ninamshukuru Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo ni kwa Mapenzi yake hii ni sehemu ya story hii so sipo OP (out of point)

Mnamo Mwaka 2012 nilifungua ukurasa Wangu Wa Mapenzi kwa kuingia kwenye Mahusiano na Mpenz wangu (jina nimehifadhi) nitakumia jina (Angel) niliempenda Sana sana na Kuamini tutakuja kuoana kutokana na tulivyopendana istoshe Mimi kufahamika na Kukubalika kwao na yeye pia kukubalika kwetu. Angel Alikua Mkoani na alikua akisoma A level (form six)..Mimi Nilikua jijini Dar nilikua nasoma Chuo (2nd year) Nilikuwa Muaminifu sana kwa Angel skuwahi kumcheat hata siku Moja kwani na Nnajielewa na Najiheshimu na Nilikua na Muheshimu nakuheshimu sana Mahusiano yangu. Nlijitahid kwenda Mkoani kumsalimu kila Nlipopata Nafasi na wakt mwngine nilijiiba na tulkua tumekaribia UE nkafanyia kama Suprize kwa kuibuka Mkoani bila yeye kujua na kumfanyia Birthday nzurii. Kiukweli nlimpenda sana na sikuona Mwingine wakutake her place in ma Heart.

Angel alikuwa Mrembo sana sanaa na Ukweli nilimpenda sana toka akiwa form 3 lkn sikumwambia chochote nlijitahidi tufahamiane kwanza..then kwakua anasoma nitamtongoza Muda sahihi Ukifika. Ukweli kujuananae ilkua mbinde sana alinisumbua sana Mwanzon wakat nikimfuata ananikasirikia bila kosa. Majibu ya Mkato sana. Want mwngne Abadilishe njia kila akiniona kweli ilkua changamoto sana sana

Ila sikukata tamaa. Ilifika mahali akajishtukia coz nlimuona anahisia na Mimi ila anachofanya ni kuhujumu hisia zake. Muda ulifika uzalendo ukamshinda akakubali ya ishe coz nlifuatilia bila kuchoka kama kivuli chake. Tulifahamiana na tulikuwa Marafiki wakubwa nlimsaidia kwa upande wa elimu kutokana na yy kupenda sana kusoma. So nlimpa vitini vyangu kama vya Geography, chemistry nk. Nakumuazia kwa friends wangu vingine wkt nkiwa form 5 coz tulkua tunakaa mkoa mmoja kabla ya mimi kujiunga chuo Dsm.

Angel alikua ananiambiaga hana mtu na hataki mahusiano mpk amalize kidato cha nne nlifurah coz nkaona soon ndoto yangu itatimia akimaliza tu 4 nnae. Sasa akiwa form 4 wakat wanamalizia kufanya mitihani ya Necta ilikua practical ya mwisho na walkua wanatoka mapema kwenye SAA 5asbh. Kuonana na Angel ilkua vigumu sana kipnd hiki na tulkua tuonana Mara nyingi kanisani na kwao palkua no mbali kidogo na kwetu so sikuwa nimamuona mda mref kidogo. Kumbuka Mimi nlikua Advance na tulkua tumefunga shule so kuna ujumbe wa Muhimu sana nlitaka nimpe. Nikamvizia akitoka shule kwny practical niongee nae nlimwambia toka jana yake kupitia cm akakubali.. Noikua kwa mbali na face gate la shuleni kwao akatoka clasmate mwnzie wakiume akaenda kukaa nyuma ya fensi ya shule ghafla nkamuona na Angel katoka akenda kulekule.. Nkamfuatilia nkamuona wameshikana mkono na jamaa wakaongea mpk wakamaliza alipogeuka nyuma face 2 face akaniona akashtuka.. Nkafuata nipo so relaxed nkamsalimia akaanza kupanic na kuniambia unataka nini? Nkamtuliza bila Mafanikio nkamwambia twnde nkusindikze home tuongee hatuwez kusimama hapa barabarani

Akakataa katakata akasema basi isiwekesi wakat nataka kuanza kumpa ujumbe walitokea tena wavulana wawili wa shuleni kwao wakaja tulipo wakanisalimu nkaitika Angel kwa dharau akaniangaliaa afu akamshika mkono jamaa mmoja kati ya hao wawili akamwambia tuondoke huku mimi wameniacha nimesimama palepale.. Iliniuma sana nkaondoka nkarudi home na kujiapiza simtafuti tena labda yy anitafute. Usiku alinitafuta mwnyw na kuniomba msamaha sana coz sikuwa nmemkosea chchte mpk anifanyie vile me nilimsamehe bila kinyongo na akaniambia hana boyfriend yyte kat ya wale nikaitika tuu ila sikumwambia tena ule ujumbe nliotaka kumwambia cku ile pamoja na kunibembeleza sana.

Nilitulia.Baada ya wiki moja toka Alipomaliza form 4 nlimtamkia kilichokua Moyoni toka siku nyingi Kwamba ninampenda na Ninamuhitaji kwa future pia. Inaelekea alkua ameshanisoma. Ila Alinikataa. Na kuniambia nimechelewa anamtu Wake kweli iliniuma sana sana. Nikamwambia hatakama Mimi ni MTU wa 100 kuja kukutamkia nakupenda haijalishi nimekuwa wa kwanza au wa Mwisho kama unanipenda still utakua unanipenda tuu.. Kuwah z nat a big deal lkn alinikataa Kabisaa. Iliniuma sana. Na baada ya hapo alikua akinipa vubiti sana hapokei simu zangu wala text harply dharau nyingi majibu mabaya sanaa sana akiniona ananikimbia hataki tuonane so alkua ananikwepa Sana'a.. Nkasema kupenda ndo imekua kosa kubwa kiac cha kuadhibiwa kiasi hiki? Ukweli Iliniuma sana.

Wakati namaliza form six Angel alikua bado katawala Moyo akili na still alikua kila kituu wangu. Nlipomaliza six nlikua na nampango wakuja Dar coz hapa pia ni home so After graduation nlipanga kuondoka 3 day later. Graduation tulifanya after paper jmoc.. J3 jioni nkaenda kwao kumuaga kwamba j4 yaani kesho yake nang'oa.. Alilia sana na kunikumbatia kiss sana ila alishindwa kua admit kuwa ananipenda coz aliniambia haaamini mapenz ya mbali Nliamini bado anaweza kuwa wangu sikuhiyo nikapiga saundi tena nkamwambia we can try me. Akakataaa nliumia sana nkasema poa tuzidi kuwasiliniana akaniambia atanikumbuka kwa mengi na lazima tutawasiliana nliona atlist kuwepo na communication.

J4 asubuhi ndani ya Dar Express natoka Moshi kilimanjaro Machozi yakinitoka Moyo huzuni kubwa ni kumuacha Angel, Moshi nlihis kama nimeuacha Moyo wangu au sehem muhimu ya Maisha yangu pale Moshi. Nilijipa Moyo ila Mawazo hayakuniisha. Nlifika Dar physical lkn kimawazo akili yangu yote ilkua Moshi kwa Angel.. Hasa nikikumbuka ni Jana Usiku tu tuliagana n nlipata kiss for the very first tym toka kwa Angel wow t was so Amazing so sweet hasa
Kwa msichana nliempenda sana t was lyk dream come true..

Tuliendelea kuwasiliana kwa muda kama 3weeks tu..baada ya Mimi kufika Dar akachange completely nkaanza kunikatia simu bila sababu nyodo nyingi dharau Sana'a kama mwanzo iliniuma sana me nlikua na expectations kwamba kwa Mawasiliano still naweza nkamkonvice hata kwa slight chance akawa wangu.. Lakn matumaini yalipotea kabisaa has a baada ya siku Mona kumpigia simu na kuniuliza "wewe n nani" namba yangu alikuanayo nkamjibu Mimi ni Wise Person Dear kwa kujikaza.. Alikata simu na kuzima kabisaa nlituma txt mpk button za simu zkafutika herufi bado Haikusaidia nilimpenda Angel tu wasichana wngne wote nliwaona kama wavulana tuu.. Kila Siku nlikua naiangalia picha yake rafk, mama na Ndugu walinishauri nimpotezee asee nlikua naitikia tuu sisikii.

Matokeo ya six yakatoka nkawa nimefaulu ingawaje paper nlifanya kwa stress ya kutoswa na Anjela but Namshukuru Mungu nilifaulu vizuri. Nikamtafuta Angel nimpe gud news labda atafurah na kunisikiliza tena wapi.. Ndo kwanza aliamuakubadili hadi line ya simu. Ckumpata ila Moyoni bado alikua anaishi na nilikuwa tayari kumpokea Wakt wwte akirudi. Nilifanya Application TCU na kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Moja ya vyuo vikuuu hapa Tz chuo hicho kipo hapa Dar. Nlianza Masomo ya chuo 2011 nkichukua Bachelor Degree Of Human Resources Management(BHRM).

Kna rafiki angu class mate alikua anamshaji wake ambae anasoma A level Moshi Bahati nzuri alikua anasoma na Angel skul Moja Nina Mshukuru Mungu Angel alifaulu vizuri form 4 na Mimi najivunia kuwa sehemu ya mwezeshaji kwenye ufaulu wake ingawaje hakuniambia kma amefaulu wala kushukuru kwa msaada wa kimasomo nliompa kipindi kile nlisema ts fyn hana haja ya kunishukuru coz now am nothing to her so furaha yangu zaid ni kwa yy kufaulu sio kunishukuru. Sasa huyu dogo alikua anamfahamu.. Ofcoz anafahamika zaid kutokana na kua alikua mrembo sana. Huyo dogo akawa anatupa story kuhusu Angel kwamba ni penda penda mbaya. Hatulii na mwanamme mmoja Leo yuko na huyu kesho na Yule even though ukimuona huwez kudhania coz ni mpole mno kwa kumwangalia. Nlizidi kuchoka kila taarifa nlizokua napata kuhusiana na Angel zilkua ni negative zakukatisha tamaa hakuna taarifa njema.

Taarifa zile zulinichosha nikaamua kufanya Maamuzi Magumu badaa ya kuprove kuwa ni za kweli kwamba staki kuziskia tena na nimemuacha aendelee na Maisha yake na Mimi na Yangu. Awe huru kufanya anachotaka coz evryting in lyf z abt choice. After all she nat my Fiance or wat? she z jus a friend. Ilinichkua Muda kuaccept uamuz huo hasa ukitegemea Moyoni in yeye tu anaishi na sikuwa na Mwingne bt that the way t z I choose to be happy I said ma self inatosha. Toka najiunga chuo sikuwa nimebahatika kupata Mkopo so Mwaka 2012 nilisafiri kwenda Moshi fuatilia Masualwa fln ambayo yangeniwezesha kupata Mkopo. Hapo bado Angel yupo Moyoni japo si saana kama zamani. Nlifika Mo Town.. Nkafuatilia kilichonpeleka kwa 1week then nkawa najiandaa kwa safari ya kurudi Dar kesho yake ilkua Alhamis nkaona ni vizuri niende kwakina Angel jus to say hi.. Niondoke.. Nilienda na nlipofika bisha hodi Bahati nzur nkamsikia Angel anasema sukuma gate ye alikua kaa kuliface gate huku anafua nguo Zake za shule. Duh! Kuniona alihamaki na kufrahi sanaa akawa kama anataka kuchanganyikiwa sijui aliwaza hatutakaa tuje kuonana bt kabla ya kuondoka kipindi kile nlipo malizaga six nlimwambia One day I ll come back for U. So akawa kafurahi sana kama Nape kupiga Bao la Mkono hata Mimi nlifurah lkn nlikua nmerelax tu. Tuliongea Mambo Mengi Sana nilihoji yeye kunifanyia yote Yale nlkosea nini? Akatubu na kuniomba Msamaha sana nkamwambia nlishamsamehe so akaniuliza kama Nina MTU au nkasema sina akaniambia akiomba nafac kwa Heart yangu IPO? Nkamwambia ntamfikiria. Akaniomba ni mkubali sasa cjui alikiona kipi kwangu ambacho hakukiona awali sasa ananitongoza kwakujishtukia.. Nlimwambia anipemuda lkn moyo ulitaka nimkubali pale pale nkajimbia no let me be patience na yy ahangaike kidogo. Nliongea na Mama yake. Then tukaagana na huku akinipa hotest kiss Ever..

Nliondoka natafakari ile kiss njia nzima nmeshika mdomo duh! Usiku mzima. Anyway Nlisafiri kesho yake kurudi Dar. Huku mawazo yakiniteka ya Angel tuu. Baada ya wiki Mbili tulkua tunawasiliana cku moja j5 usiku kuamkia alhamic tukajikuta tumefungua ukurasa Mpya wa mapenzi kati yetu.. Angel wangu Mimi wake nlifurah sana nlitamani ningekuwa nasoma moshi bado. Tulipanga mengi akaniambia Mamake jinsi anavyonikubali na ndugu zake.. Kipich hiki alkua form sx.

Tukazidi kuwasiliana na mapenzi yetu japokuwa yalikua ya simu bado yalikua Matamu kaapa hatokuja kuniumiza hajaona kama Mimi sifa kibao na Mimi vile vile.. Siunajua mapenz yalivyo? Akaniambia anataka akimaliza 6 aje Dar kusoma chuo ilituwe karibu. Nlifurah kuskia hvyo na kuna Màmbo mengi sana yalihapen kipnd hcho ikiwa ni pamoja na Mimi kwenda kumsabah na kumfanyia amazing Birthday party nkiwa na best Man wangu na Bobuno. Alifurah sana coz ilkua ni Suprize yy alijua nipo Dar bt nkiwa sijamuwish chochote na akiwa kajaa Hasira Aliniona nimesimama getini kwao SAA 7pm nmeshika kadi kali Bobbuno kashika Cake wakt anashangaa kiss ya hatari ika2a shingoni na whisper words happy birthday my Love. Tulienjoy sana especially yeye akaadmit hajawah fanyiwa kitu kama hicho.. Hapo nlitimba Moshi j3 na j4 tukafanya Birthday then alhamc nkarud Dar kujiandaa na UE j3 ya next week.

Nlijiandaa vyema na nkafanya Mitihani. Mpk nkamaliza Angel wakat huo akiwa kamaliza six Kutiana Moyo na kuombeana Sana, Pamoja na changamoto zlizokuwepo kuna kipindi alikua akiniambia watu waliokua wakimfuatilia na Anasema anawakataa me nkawa naamini coz in rship U must be positive. Angel nilijikuta nimejua sana kiasi kwamba akinidangaya Najua pamoja Niko mbali nae. Kuna kipindi alikua na mahusiano na Jamaa mmoja waliemalizanae six (Nina nahifadhi) ntamuita John lkn nligundua baada ya kuona Mawasiliano yanapungua kuna mambo yalichange bt nlinotc cz huwa niko vry carefully na sensitive sana kwny rship yangu so hata change kidgo ntajua tu. Baada ya kugundua yupo John nliumia sana nkamkemea aache alilia kwny simu akaniomba nisimuache na akasema anamwacha kweli baada ya kumpa muda tulirudi at the peak.. Huku akini hakikishia wameachana na John. Sikuwa na jins zaid ya kuamini kumsamehe coz bado nampenda sana nà kumpa another chance.

Baada ya Muda Angel alipangiwa kwenda Jeshi kambi ya Tabora. Alikwenda na alikua akijiiba na kutumia simu kuwasiliana na Mimi kipindi akiwa jeshini. Badaa ya Miez kadhaa walitoka jeshi kurudi nyumbani kujindaa na chuo kwani wakati huo matokeo yao yalkua yametoka Na Mungu alimsadia akafaulu akachagua vyuo Vingi vya Dar ili aje awekaribu na Mimi. Kweli alipangiwa Dar chuo flani hapa mjini cha mambo ya Afya ni chuo kikubwa kibwa tu. Siku anakuja Dar nkaenda Ubungo kumpokea pamoja na wenyej wake aliokua amefikia kwao nlifurah sana kumuona hasa pale alipokua akishuka ndani ya Mtei Express Angel alifurah zaid ya Wenger kumfunga Mourinho. Baada ya muda kdogo aliondoka na Ndugu zake hao nikiwa na Miadi ya kuonana nae kesho yake. Huku nkimuachia kama 10000 ya nauli. Nlirudi kwa bro Ubungo river side na wao wakaenda zao kijitonyama ikiwa ni SAA 11pm wakt tunachana cku hyo.

Kesho yake Ilkua jpili baada ya kutoka church nlijiandaa then Mchana nkaenda Mahali tulipo ahidiana tukutane napo ni Mwenge kwenye jengo la Mwenge Complex. Nliwahi kufika kwenye saa 2pm nlishafika kutoka na shauku kubwa nliyokua nayo kwake yeye alichelewa kidgo alifika kwenye SAA 3pm kutokana na kuwa mgeni wa Jiji na ilkua mara yake ya kwanza kufika Dar. Daladala kwake zlimchanganya kidogo. Tulifari sana siku hyo nlitoka nae mpk maeneo tulivu Masaki, Coco beach hii apa. Tuliongea Mengi na kuinjoy sana Siku hyo. Ili nlikundua kuna kautofauti flan 4n yake alikua akiificha ficha sana nkamtulizia tu ili asije akaharibu cku.. Wakati tunatoka batani night kwny saa 9pm nlimvizia nkampora simu yake nkaanza kuhangaika Sana'a.. Nmeishika tu nkamuliza tatzo nnini akasema hamna hapo nmeshika tu sijaifungua. Then nkamrudishia akachkua afu akawa anambia babe Hamna kitu ananiuliza unataka kuitumia chukua ananipa tena nkajifanya naikataa akawa kama ananlazmishia kidgo.. Nkaichkua afu nkaenda kwenye txts mbele yake akapanik sana akaniambia Babe utakachokuta huko I 'll explain nkakaa kimyaa nkasoma text zote nkagundua yupo na Rship na John alyeniambiaga waliachana nkàmrudishia 4n yake afu sikuongea coz nliumia sana sana Ukitegemea kwamba nlikua Nampenda sana mind U sjawah kumcheat hata cku Moja hata kwa Mawazo tu cjawah. alianza Ku explain nkamwambia don bother.. I don't ask for it. Nkamwambia tembea haraka tumechlewa home nlikua namsindkiza kwao. Angel Alianza kulia sana pale barabarani akanipigia Magoti me natembea yeye anifuata kwa Magoti.. Nlipogundua nlimnyanya haraka nkamwambia si stahili kupigiwa magoti me ni Mwanadamu Mungu ndio wa kupigiwa Magoti. Alizidi kulia sana hataki kutembea. Pamoja na Uchungu nliokuwanao nlijiuliza Mimi ni nani mpk nisisamehe nlimsogelea nkamkumbatia nkamwambia kwa upole Nimekusamehe.. Hakuamini but nilikua nmesamehe from my Heart.. Alifurahi sana ingawaje sikupata Amani ya Moja kwa moja wakt huo.. Nliwaza mengi sana Moyoni hakuna alichokosa kwangu Nilimtimizia Mahitaji yake kadri Uwezo wangu ulipofikia.... No way!! Nkamwambia Angel kama kweli ananipenda Mimi ampigie simu John mbele yangu na Kumtakià hamuhitaji tena kama anavyoniambia Mimi kweli alimpigia wàkaongea akampiga chn mbele yàñgu huku kaweka loud speaker jamaa hakumwelewa ikabidi chkue simu niongee nae mimi nkamwàmbia 2mefall kwa sem girl sio tatzo lkn ttzo ni Angel kumkubali ingawaje ananipenda Mimi tatzo nila Angel nkamuombeà Msamaha jamaa akaelewa nkamwambià ampotezee Angel 4 gud coz now ameahakiki anamtu.. Cz Mwanzon angel alimwambia but jàmaà akang'ang'ania.. Kikweli usiku ule sikupata usingiz nkiwa najiuliza nifanyeje.. Cz siwez kumwacha Angel wakt bado nampenda nae ananipenda nikaamua kufanya Maamuz magumu. Yaani kum'badili Tabia Angel yaani kumshape.

Wakat huo Angel alkua Ameshanza chuo nkaahakikisha tunawasiliana kila siku nkaanza kubadili fikra zake na Mitazamo yake taratibu kwa kuongea NAE na kumpamifano Mbalimbali ambàyo ni realistic.. Hasa iliyobase na Mambo ya Psychology.. Kutokana na uwezo wangu mkubwa katika kushauri na kupitia vitabu na Mbalimbali baada ya mwez mmoja Angel akawa amebadilika kwa kiac kikubwa na kumtoa kwenye list of Shameful p'ple na akawa MTU wakuheshimika alizidi Kunipenda na akaniambia anajiona amebadika kwa hata rfk zake wanamwambia.. Alilazmika kubàdli had line yake ya sm. Mambo yalkua Mazuri sana na tulizidi kupendana na kuwasiliana na baàdhi ya ndugu zake. Angel aliniahid kamwe haitakuja kutokea yy kuniacha na ndgu zake walizd kumsisitiza Kua Mimi ndie MTU sahihi kwake na asifanye Mistake akanipoteza support kubwa sana nlipatà kwa Dada, kaka, na Mamake Angel walinipenda sana. Hata yy ndugu zangu walimpenda sana na walkuà wakiongea NAE kwa 4n nlimpelekà kwa Mama alifurah sana na Mama alimkubali sana wkawa marafik so kila tukipata nafac in kitunda kwa Mama.

Baada ya miez miwili kupita 2kiwa chuon kwao maeneo Mbez beach aliniapia kwamba Haitakaa itokee chuoni awe nà Mtu anisaliti. So nlikua Mara kadhaa nkiwah kutoka chuo nampitia namsindikiza hadi kwao. Kuna kipind nlimuona kabadilika na nkahisi Ananicheat.. Yupo busy na simu mda wote hatak niishike cm yake.. Nlikaanae chini tukaongea kwa upole huku nkipiga maswl ya mtego mwisho aliniambia kuna wavulana wawili wanamsumbua toka jeshin na mmoja wanasoma nae hapa nlimwambia anipe namba zao akanipa den ckuwapigia cku hyo ila nliwapigia pasipo kumjulisha angel nkawadadis wote kila mmoja aliniàmbia karibu atakubaliwa yaan watapata green light. Japo Angel aliniambia amewakatalia Kata. Kweli nliproov hawakunidanganya Angel ndio Muongo. Kweli nliumia sana Nlipojitambulisha kwao nkaongea nào kishkaj walinelewa sana kila mmoja kwa wkt wake. Baadae walikuja kumpigia simu kila mmoja kwa nyakt tofàut wakimlaumu kwa kuwadanganya Angel NAE akanikasirikia nlimshangaa sana nkatulia mpk mwnyw alipogundua amekosa den akanomba Msamaha coz nlikua bàdo nampenda nkamsamehe nabkumpa nàfac nyngne ya kujirebisha cku zote nlimuona ni ma Future Wife na ckuwa na choice nyngne tuliendelea.. Kunawkt alkua akipewa zawad sana na jamaa(Tobi) mmoja chuoni kwao akawa ananambia mlimkatazà asipokee. Lkn yy alizid kupokea anasema hazna shida nkamwambia angalia hzo zawadi zsije zkaununua Moyo wako. Akaniapia kwamba kamwe haiwe tokea akamkubalia Tobi. me nkanyamaza BT nlikua na wasiwasi..Cku Moja aliniambia Anahitaj chumba Maeneo ya Mbezi ili awekaribu na chuon kwao so nimsaidie kutafuta.. Nlikubali na nlitafuta sana nkapata Mwnge lkn alikikataa japo kizur cz lengo lake apate Mbezi. Kipind hiki kulitokea pia misunderstandings but nlijitahidi kuwa peace maker wakat wote. Nakujishusha sana.

Mwezi wa 11/2012 kulkua na Graduations vyuo ving hapa Dar. Kaka yake Angel (kalvin) alkua anasoma chuo Ifm. Na kipnd hiki alikuwa anahitimu. Angel aliniomba nimsndikze kwny Graduation ya kakake nlikubal. nakumbuka cku hyo ilkua ijumaa nliwah kutoka chuo nkamsubiri Angel Mwenge yy alichelewa nlimsamehe bure. Tulifanya shipping ya zawadi kwa bro nlishangaa kumuona Angel yupo busy na simu kila k2 kaniachia nakimbizana na kutafuta zawad mnyw. Muda wote alkua anachat huku anacheka ckujua anachat nan nlitulia tu. Siku nzima hakua attention kunisikiliza n bsy na simu. Tulienda kwa graduation baadae tulifanya kaparty kwny mgahawa mmoja pale posta.. Ilkua nzur BT nlikosa sana Amani cku hyo baada kuona vituko nnavyofanyiwa na Angel. Ubaya zaid cku hyo nlimuuliza angel r u see me in yo future akasema I can't answer yo qn. Ilinichanganya sana cz Siku zote Amekua akiitikia kwa ujasiri YES u r Ma future husband. Nlikuwa na Mawazo sana cku hyo nkahisi kunajambo halipo sawa. Kalvn alinishukuru sana kwa kujà na kumsih Mdog wake kamwe Asibabaike na Wanaume wengine kwan kampata mwanaume bora kàbisa wa viwango vya juu so hard 2 find yaan Mimi Wise Person. Aliitikia den tukaagana nakuchkua Bajaji hadi Mwenge ilkua saa 11pm bado kwa Bajaji aliendelea kçhat nlikasirka nkamwambia anipe smu akakataa nkampkonya simu afu nkaaza kusoma ànàçhat nani? Kumbe toka mchna anachat na Tobi. Na Tobi alkua Anamsubiria kituon amsindikize kwao nkasema Noway ntaenda Angel mpk kwao hatakama nitachelewaje home kwetu nlitaka pia nimuone tobi coz ckuwah kumwona. 2lifika kituon tukashukà nkaongea nae alkua kaniziria nlimrudishia 4n yake baada ya Muda kidgo Tobi alikuja na rfk yake tukasalimiana nkmwambia Angel anitambulishe Akashndwà nikajitambulisha kuwa in mpenz wake Angel. Nlimsoma Angel hakufurahia baada ya Mimi kujitambulisha vile seemz lyk altakaniseme me ni RFK ake na sio Mpenz. Jamaa wakajitambulsha n rafk na Angel tu nothing else. Angel akarukia maongez kwa hasira akaniambia umeprove sasa? Umefurah nkasmile 2. Nkawaruhusu wamsindikize hom me nkarudi kwetu.

Nlimuomba Msamaha lkn akaanza kunifanyià vitiko vya kila aina kuanzia cku hyo. Mara hapokei simu zañgu harply txt zangu nkimuomba tuonane hataki.. Nkaona nimpe space labda atachange lkn wapi space na kum'bembeleza. Sana'a bado haikusaidia iliniuma sana sana. Ckumoja nkamtumia text nkamuomba tuongee lkua usiku akakubali akasema piga SAA 11pm hyo ilkua SAA 9pm nkamwambia poa. Ilpofika SAA 11pm nkapiga nkakuta simu iko busy.. Nkamtxt unaongeà na nani sahz? Hakujibu nkamtext tena ukimalizà kuongea unibip npige tuoñgee akapiga kimyaa baada ya 30min nkampigia nkakuta sim busy tena. Nkakumbuka Tobi alishanipaga namba yake ila yangu ckuwah kumpa.. Nkampigia tobi. Chaajabu simu ya Tobi nayo ikawa busy. nliwaza mengi baadae nkampigia Angel simu ikaita bila kupokelewa nkapiga tenà akakata nkapiga tena akawaamezima simu. Tobi akanipigia nkajitambulisha nkamwambia natamtuta Angel BT hapatkani tobi akaniambia ndie aliekua anaongea nae. Nkamuaga kweli iliniuma sana hasa ukiangalia cjaonana na Angel wal kuongea NAE the whole week.

Kesho yake nlimpigia mida ya mchana alipokea simu nkamuuliza wots going on mbona simuelewi? Akawa ananiambia vitu visivyoeleweka nkamuuliza Usk alikua anàongea nanani? Akaniambia rfk yake nkamuuliza ni Tobi? Akakataa kata kata akamkana. Nlijiskia vibaya sana nkashndwa kuendelea kuongea nkamwambia ntamchek jioni akasema pouwa. Jioni nlimchek cku hyo ndo nlichoka kabisa Baada ya kumuulza mbona celw mapenz yetu yanaelekea wàpi? Angel akaniambia hataki tena Mahusiano so Me niendelee na Maisha yangu nimuaçhe huku akiongea kwa kujiàmini nlitoka kitandani nikakaachini sakafuni nkaweka loudspeaker nkamwambia arudie nmemskia vibaya bt alirudia vilevile.nlikata simu Nliumia kupita kiac mpk nkawa nàtetemeka badala ya kulia ñlijikuta naangua kcheko cha Maumivu nlicheka sàna huku nmepiga magoti. kulkua na barid na feni nimewasha lkn jasho lilinitoka. Nkalala chini machoz yakinitoka. Ckuhyo ilkua jmoc baada ya hapo nkamtext kamwambia kesho yake jpil ntaenda kumuona. Akanijibu asbh pouwa.

Nlipotoka church nlienda kumuona akanipa live kwamba Kwasasa anataka asome hanihitaj tena. Sikumkubalia hatà kidgo nkamuomba msamaha popote nlipo mkosea nkamwambia spo Tayar kuachanae. Alizidi kunikazia nkampigia ndugu yangu nkamwomba anisaidie kuongea na Angel nkampasimu Angel wakaongea but Angel akawa anamjib kwa dharau sana nkachkua simu nkamshukuru Jamaa nkàkata simu. Nliongea kila kitu cku ile bembelzà sana nlimkumbushia tulpotoka sana BT hakunielewa. Nkabadili topic nkamuuliza vip kuhusu chumba akanimbia nsisumbuke kuna MTU anàmtaftià.. Tuliagana akachkuà Bajaji akaenda kwa Tobi nliskia akipigiwa cm na rfk wa Tobi akambiawa Tobi anaumwa. Nlibaki nmesmama huku naingalia me Bajaji mpk ikapotea roho iliniuma sana nkaondoka.

Usiku nlimtafuta tena nkaongea nae kirefu kwa utulivu zaidi. Akakiri kuwa kàingià. Kwa r'ship na MTU mwngine. Nlishtuka na kuumia sana na sikupanic wala ckukata cm ila nkaweka pembeni kama 2min. Halafu nkamuuliza ninani? Alinizungusha kdgo lkn baadae akaadmitt ni Tobiasi. Nliwaza Nkampata majibu ya haraka tobi alkua famous hapo chuoni kwào kusafiri nje sana alkua na pesa kuliko Mimi. Na zle zawadi zmeunua Moyo wake. Nkaendelea kuongea NAE taratbu zaidi ya SAA 3 mwisho Akakiri Amekosea kuingia ktk Mahusiano na tobi kwamba ni tamaa zmemponzà. Akaniomba Msamaha. Me nkamwambia Kesho yaan J3 ntampigia simu tobi tukutane sisi wote wa 3. Wise,Angel na tobi. Akikubali kukiri Makosa hayo Mbele ya tobi. Mimi nikoradhi kpokea tena coz bado nampenda sana n she z My Future Wife. Akasema sawa.

Kesho yake asbh nkaongea na tobi nkamwambia kutakuwa na Meeting ya sisi wa3 Akakubali na kupropose tufanyie Giraffe Hotel Kawe SAA 5pm. Nlifahamisha na Angel wote tukaafiki. SAA 4pm nlienda kwa kina Angel nkamkuta tuliongea mengi akakir tena kamà Jana Usiku alvyoniambia alikosea. Nkamwambia sawa lkn akikiri hayo mble ya tobi hatakama tobi asipoelewa Mimi ntamwelewesha. Akakubali. Muda ulipo karbia tukasogea mpk eneo la tukio. Tobi alikuja tukapanda nae Bajaji mpka Giraffe.

Kikao kikaanza nkaanza kumuelezea Angel jinsi tulivyojuana mpk hapo tulipofika. Tobi NAE akaeleza yote na kwamba sikuile ya graduu ya kakake Angel yeye ndie alimpalift Angel kwa gari mpk Mwenge wakiwa kwa gari alimuuliza kama anàmtu lkn Angel akakànà akasema hana Mtu nliumia wit akisimulia.so baada ya lift ndo wakachat the whole day na Jamaa alikua anaelekea kufunguka ya Moyoni me nkamuwah DAT night Na akasema nlivyomleta Alihisi mimi namfoc Angel ndio maana Angel alishindwa kunitambulisha kama Mpenz wake Siku ile. Na Mambo mengi Yule bwàna Àlieleza.

Ikàfika zamu ya Angel akaelezea r'ship yangu nà yy kwamba alinikubali Kutokana na Muonekanao mzuri wakuvutia na pia Nlikua Gentle man Muda wote wa Mahusiano yetu. Akamuelezea Tobi kwamba nimtu alkua karibu NAE hasa wkt mis understand kati yangu Wise na Angel. Conclusion: akasema Nampenda tobi kuliko wewe Wise. Moyo Paah! This tym ckuweza kuficha hisia Zangu Machozi yalinitoka huku nimetulia na Angel akiendelea kuongea. Akaongea afu akashindwa kumalizia akawa analia na yeye akatoka kwa Muda Akaniacha Mimi na tobi pale Mezani kimya kilitawala baada ya Akarudi bado analia. Nlisimama nkamuhug Tobi na Angel nkaunganisha Nkamwambia tobi take care of Angel na Angel nkamwàmbia take care of ur Man. Nsingependa kimtokee tobi hiki kilichonitokea Mimi leo. Nkawaambia frm my Heart I wish you the Best in life. Den nkajitenga nao nkaenda kukaambali (ufukweni) nikalia sana.

Najua Kuna watu wamepita Mateso Makali zaid ya haya lkn kwa upande wangu haya yalikua makali zaid kwangu. Hope utakua umejifunza kitu.

Nawasilisha..
Wise Person:

Tobi na Angel wako pamoja mpaka sasa ?? Yupo mtu sahihi kwa ajili yako. Ila wengi wanapitia magumu na hawasemi. Hakika umebarikiwa na kuna watu wataponywa kwenye hayo uliyopitia.
 
Ahaa kumbe. Ila naamini sio wote.. Wapo wachache wanaofall gentle man.. Cjaumbwa kuwa bad boy.. Na siwez kuwa bad boy.. Kama hakuna msichana wa kunifaa sio lazma nkawa bad boy ili kuwa plz.. Na sio lazma kuwa na Mahusiano naweza nkakaa mwnyw. Cz r'ship z abt choice.lyf z very short Cwez nkaacha kuishi maisha yangu kama gud boy niige maisha ya bad boys 4 the seek ya kuwa na mahusiano.I am responsible for ma lyf.. If I live their life who will live myn?
M/Mungu huwalinda walio wake. People fall in , People fall out.
 
Pole sana mkuu, mwanzo nilighafilika baada ya kusoma hii story ila nimetafakari nikaona wewe ni genteman wa ukweli.
Mungu akujaalie umpate mwanamke sahihi.
Nifah:

Wanaume wengi wanakufa kwa selfish love.... hasa kwa kukaza ilihali anapenda anashindwa kuonyesha mwisho wa siku anatengeneza chuki. Hiyo inazaa kitu kingine nakumpelekea mawazo.
 
Mwanamke akisha jua unampenda anakugeuza msukule wake, na usipokua makini, anaweza akakuua kabisa kwa stress za mapenzi
 
Wise Person
mrejesho please
Nina safari ya mapenzi na msichana anayeitwa Angel. Angesoma huu hzi angepata stress coz angefikirinimeandika kuhusu yey ila kwenye scenario tofauti. .

Maisha ni safari. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom