Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,355
- 14,829
Wanafuata pesa tuu hakuna lolote ....ahahahaha ukiwa mzee na hauna hela utaipata kwel kweliWazee wetu wakianza kuumwa msiwatelekeze basi endeleeni kuwa nao Kama marehemu bibi zetu walivyokuwa nao ktk kila hali