hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,597
- 73,969
Usiloliweza wenzako tunaliweza na Linalokuchosha wenzako linatuchangamsha.
Nini Arusha... Mimi nshatoka Dar to Kigoma nkakaa Wiki moja nachakata daily then Safari ikaanza tena kuifuata Mbususu nyingine Mtwara kule nlikaa wiki 2 kisha nikaitiwa Mbunye Dar... Safari ya kurudi nlikua nimechoka sana aisee... Hata sikushuka njiani nile zaidi ya kubugia Makorosho tu na Maziwa Mgando.
Nimefika Dar nkaanza kujificha na kuzima simu mpaka Kibuyu kilivyojaa tena.
Girls wanapenda sana kufuatwa na kuitiwa Dushe.





woooiiiii