Safari ya kufuata mhogo

Safari ya kufuata mhogo

Usiloliweza wenzako tunaliweza na Linalokuchosha wenzako linatuchangamsha.

Nini Arusha... Mimi nshatoka Dar to Kigoma nkakaa Wiki moja nachakata daily then Safari ikaanza tena kuifuata Mbususu nyingine Mtwara kule nlikaa wiki 2 kisha nikaitiwa Mbunye Dar... Safari ya kurudi nlikua nimechoka sana aisee... Hata sikushuka njiani nile zaidi ya kubugia Makorosho tu na Maziwa Mgando.

Nimefika Dar nkaanza kujificha na kuzima simu mpaka Kibuyu kilivyojaa tena.

Girls wanapenda sana kufuatwa na kuitiwa Dushe.
Unatafuta hela saa ngapi boss
 
Sasa 34 nae ni mwanaume!! Hapo si bado balehe iko kwenye kilele!
Achaneni na hivyo vitoto.
Nimeumia sana na hii quote, 34yrs ni Mwanaume kamili na amekomaa na balehe aliiacha miaka mingi labda tu kama akili yake ndio ya kivulana
 
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno . Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Kaditamati naapa, muhogo sitonunua Haikuwa Maimuna, aliyekwenda ung'oa Kaditamati naapa, muhogo sitonunua
 
Yaan nami naona narudi kulekulesijui nifanyaje? Mbeya hapa ukimwi upo juujuu hadi naogopa kuliwa,ukimkubali mtu ukimwambia kupima kwanza waingia mitini...nina watoto naogopa nikiharibu afya nimewaumiza wanangu tayari
Afya kwanza ...
 
Kuna Bidada tuko mikoa ya karibu, ila Sasa Kila nikichomekea akuje......ananizungusha.

Kila nikichomekea Mimi niende , Mara ubize Mara nn !!


Msiseme hanipendi ,Ananipenda sana tu , Ila nahisi ni ubize tu wa hapa na pale


Kwa kweli kuna Raha kusafiri kufata Mbususu!! ... Yaan unakua kama unafanya Royal Tour ya kugegedana


Kondomu !!.


Nasema Uongo Ndugu zangu??.
Hapo kwenye kondomu umekosea/sema uongo

Siwezi kusafiri kilometers zaidi ya 500 kufata k..um!!a halafu nikamto..mb!!e huku ub!!oo nimeuvalisha kondomu (mimi siwezi)

UKIMWI UPO
 
''SAFARI KUFUATA MUHOGO''

Bila kuathiri ulichoandika lakini naomba niseme , hiki ndio kichwa bora cha uzi hapa JF kwa mwaka huu....

What a title
 
Nimecheka hata kabla sijamaliza kusoma story,, nimeishia hapo kutoka tunduma kufata muhogo😂😂😂haya tuendelee

Yani hapo ukapata uchovu mara mbili si ajabu hata kaorgasm kadogo hukupata, pole Sana

Ndo maana mie napenda wababa, wastaafu😂😂 wanajielewaga, 34 yrs kwa wanaume wengi bado hawajakomaa ktk kusimamia matamanio yao ya kingono
Lol.

#Wababawastaafu. 😅😅
 
Pole mwaya sema saa ingine hata haiwagi fundisho kwani usishangae kesho na kesho kutwa unaenda pengine kufuata huo mkasava yaani yote uliyopitia unasahau.
 
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno . Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Duh!!! eti mhogo. Unapenda mhogo. Tatizo lenu skuizi mpo wengi sana, tunawasaidia kuwapa mhogo, sasa wee unataka ufaidi peke yako na wenzako watapewa na nani? vzr shea na wengine, acha ubinafsi.

Lazma wanaume tuwamiliki wanawake wengi ili tubalansi pasiwepo wa kukosa mhogo maana, wanawake mko wengi mno.
 
Back
Top Bottom