Safari ya kufuata mhogo

Safari ya kufuata mhogo

Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo . Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha

Katika miez mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafir KUFATA MHOGO Arusha kutoka tunduma

Wanaume kuweni na aibu ata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za Ivo sana katika katiba mpya hili swalatutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo

Nimefka Arusha salama lakin nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls haitoshi mama mwenyenyumba hakai hapo ila ndo anagombaniana na vidada MHOGO yaaan akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?

Lait ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndo wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini

Nawapa taadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbaliii mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
Umeshachezea de libolo
 
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
Mi natafuta ufalme wa mbinguni njoo ule mema ya nchi achana na vinuka boksa watakufanya ujione una nuksi
 
Nimecheka hata kabla sijamaliza kusoma story,, nimeishia hapo kutoka tunduma kufata muhogo😂😂😂haya tuendelee

Yani hapo ukapata uchovu mara mbili si ajabu hata kaorgasm kadogo hukupata, pole Sana

Ndo maana mie napenda wababa, wastaafu😂😂 wanajielewaga, 34 yrs kwa wanaume wengi bado hawajakomaa ktk kusimamia matamanio yao ya kingono
Kumbe mimi na miaka yangu 54 naweza kuja DM 😜😜
 
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
Kuna mzee mmoja muungwana sana na anajua kutunza sana...sema nikuunge naye
 
Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
Kweli imeandikwa " utapewa wa kufanana"
Huyo unayemsema ni wako kabisa kwani naye anawavua kweli kweli.
Baki naye
 
Ni katika harakati tu za kutafuta rizki ndo tunajikuta tunatongoza kila sehem maana tukipata tunakula tukikosa tunalala, chuga ni republic vipaombele vyetu ni tofaut kabisa kwanza hamna mahaba, mahaba yako daslam
 
Arusha mbona ni hapo tu watu wanafata Mihogo hadi Ulaya soko likiwa zuri
 
Pole...........Ila samaki mmoja akioza mtoe mtupe wengine kamulia ndimu.......utanishukuru baadaye PM
 
Show ikiwa mbovu,Visingizio vinakuwa vingi sana!!
 
Back
Top Bottom