shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Wapendwa wana chitchat naomba mshirikiane nami kumtakia safari njema na
kuiombea familia ya kipenzi changu Mr kiwatengu kwa matatizo waliyoyapata.
Mungu awasafirishe salama na kuwapa nguvu na kuwaondolea hofu.
yote ni mapenzi ya mungu.
Habari zimfikie;
kuiombea familia ya kipenzi changu Mr kiwatengu kwa matatizo waliyoyapata.
Mungu awasafirishe salama na kuwapa nguvu na kuwaondolea hofu.
yote ni mapenzi ya mungu.
Habari zimfikie;
- mama mkwe; Mamndenyi
- shem; Erickb52
- mkaguzi mkuu; Asprin
- mweyekiti; Baba V
- family doctor; Lady doctor
- NAWENGINE WOTE mtakaoguswa