Safari ndefu namna hii ni mateso, serikali ituletee ndege za bei nafuu

Wewe safari ndogo unalalamika je sisi Songea to Dar via moroforo au Songea Dar via mtwara rout mpya now
 
Usikariri siasa kwenye maisha, ndege zinapandwa kama kawaida na zinajaa.

Kitu ambacho huelewi na siyo kosa lako Tanzania ndege ni chache sana, bado watu wengi zaidi wanatakiwa kuwekeza kwenye usafiri wa anga na soko ndio litashusha bei automatically
Mkuu bwana ww acha jazba biashara ya ndege hailipi najua kuna shirika/ mashirika yamekufa kwa kutengeneza loss... hatukurupuki ndg.
 
Mi nashangaa mtu anatoka Kigoma anakuja Dar kufanya nini hasa hv hakuna mbadala wa huduma anayoifuata Dar mikoa ya karibu nae
 
Ni kweli safari zinachosha japo hatuna jinsi maana walio wengi ndege hata zikiwepo hatuwezi kwani ni za tabaka la juu tu, ila zaidi siku ukipata safari ya kutoka Mutukula hadi Tunduma kwa gari tu ndo utaamini sisi masikini tunashida sana
 
Kuna namna ya uandishi inaweza ikafanya ukagundua kuwa ni ke au me..hope unaweza ukagundua apo.
Umesema namna ya uandishi inaweza kukutambulisha jinsia yako au sio?,okay tukisema ww ni ke utalalamika kuwa umedharauliwa?...,kwasababu kwa mwanaume halisi si mvulana safari ya dar-Dom hukustaili kulalamika,hapo ke ndio alitakiwa alalamike,eti hata ofisini umeshindwa kwenda aiseee we jamaa bhana...
 
Ndege za Bei nafuu Maana yake serikali ipange mkakati WA kujipatia hasara zaidi baada ya bombardier?
 
Umesema namna ya uandishi inaweza kukutambulisha jinsia yako au sio?,okay tukisema ww ni ke utalalamika kuwa umedharauliwa?...,kwasababu kwa mwanaume halisi si mvulana safari ya dar-Dom hukustaili kulalamika,hapo ke ndio alitakiwa alalamike,eti hata ofisini umeshindwa kwenda aiseee we jamaa bhana...
Tena we ndio ke na K pia..kama mtu utachelewa kufika safari na kufika mda ambao ofc haitakua ipo active utaendaje ofc ufike home adi ujiandae..usijiless mwanadada..
 
Tena we ndio ke na K pia..kama mtu utachelewa kufika safari na kufika mda ambao ofc haitakua ipo active utaendaje ofc ufike home adi ujiandae..usijiless mwanadada..
Hahahahahah acha kutokwa na mapovu lzm uambiwe ukweli,mwanaume kulalamika umechoka sio hio ni tabia za kinadada,mwanaume unatakiwa ugangamale,eti ohhh yaan nimechoka sijui kama ntaweza kwenda ofisini
 
Mkuu na hapo imerahisishwa maana dar to kigoma via kahama mbali pia kipande cha kilomita zaidi ya 300 ni barabara ya vumbi ila dar to kigoma via itigi nafuu kidogo
 
Back
Top Bottom