Safari 2015; CCM 3 vs CDM 1

Mafilili huna jipya ukitaka kujua ccm wamekwisha hainiingii akilini kuona Jk anamteua Nchimbi kuwa waziri ile hali nchimbi jimboni kwake hawamtaki kabisa na wanalia na umeme hadi jana Chadema wameamua kuitisha maandamano kudai umeme.
 
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina
1. CDM walilia kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya: JK akatoa tamko la mkakati kuanza; CCM 1 vs CDM 0

2. CDM kulalamika mawazo yao kutokuwepo katika namna ya uanzishaji na utaratibu wa kufikia katiba mpya: JK akisikia kilio chao na kuwakaribisha IKULU wakatoa mawazo yao; CCM 2 vs CDM 0
3. CDM kupendekeza mjumbe katika tume ya kukusanya maoni, JK kumteua na kumuapisha Prof. Baregu; CCM 3 vs CDM 0

4. CDM kushinikiza PM awajibike ama mawaziri wapigwe chini; JK kuwatoa nje ya baraza mawaziri husika; CCM 0 vs CDM 1

Hatahivyo upepo umegeuka ghafla CDM inabidi mjizatiti, CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!

Kweli nimeamini ukiwa ccm automaticaly unakuwa na akili iliyodumaa, na fikra zinakuwa zisizo endelevu.
Hivi hapo nani mshindi? CDM mashinikizo yao yote ccm imefanyia kazi ingawa si kwa kiwango walicho amriwa na CDM.
Huoni kwamba sasa hivi ccm na serikali yake inaendeshwa na CDM?
 
CDM 3- CCM 1 ulikosea geuza matokeo na tunapoelekea na hili watakubali itakuwa CDM 4 - CCM 0.
 
muanzisha uzi tafadhari kapige mswaki wa ubongo, kwa akili ya kawaida 2 utaelewa nani controler na nani subordinate
 
Back
Top Bottom