Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi


Hiyo siku haipo
 
Uongo uliotukuka. Labda mji wa mkoa wako tu. Na labda kwa sababu mlichagua maisha bora kwa kila mdanganyika na mkapata the opposite kwa kutokua na miundombinu.

Mwaka huu anakuja tena huko kwenu kwa ahadi zile zile na majuha mtampa. Kalagabaho.

Sadly to say, wako wengi sana hawa. Poor We.
 



Sada, you are right but, point of correction; ukali wa MwanaHalisi sio wiki hii pekee!

MwanaHalisi tofauti na magazeti mengine hutizami vichwa vya habari ndio ununue! Ukiwa karibu na kibanda cha kuuzia magazeti mara zote utasikia NIPE MwanaHalisi hata kabla ya kuona vichwa vya habari!

Kuchelewa ku-update ktk mtandao inawezekana ni business trick ili watu wapate hard copy. Lakini atleast siku hizi unaweza kulipata by the next day (alhamis)

Big up Kubenea!
 
Siunajua tatizo la waG!
 

Nkunya,

Unachokisema ni kweli kabisa. Ila kwa upande wangu hilo la Tarehe 25/08/2010 lilikuwa nzuri kupita kiasi na ninaamini wataendeleza huo ubora wao bila kuchoka. Kama wengi walivyosema, kwa kweli wanahitaji kutiwa moyo sana. Ni sawa kabisa ili ununue MwanaHalisi huitaji kusoma vichwa vyao vya habari. Kuna Profesa mmoja hapa nchini anayeheshimika sana analipenda kuliko kawaida na huwa halikosi kila wiki.

Watanzania tuwaunge mkono kwa kulisoma hili gazeti kila wiki kwa ukamilifu wake na kuhakikisha kuwa tunalinunua kila wiki bila kukosa.
 

Tuombe MUNGU isitokee hivyo ila inawezekana kabisa. Wanafanya kazi kubwa sana.
 
Nashauri litolewe mara mbili kwa wiki badala ya mara moja kama ilivyo sasa kwani kuna mambo mengi ambayo huwa ni muhimu tuka[pata uchambuzi kutoka vyombo makini km mwanahalisi bila ya hivyo tunakosa radha halisi ya kupata habari.................
Kila raia anauhuru wa kupata habari lakini siamini km ni kupata habari tu ila naamini ni kupata habari makini kutoka vyombo makini kama mwanahalisi........
 
pole sana haya magazeti yanasomwa dar es salaam peke yeke
mikoan hayafiki


hata kama hayafiki mgombea wenu kaaonekana kaanguka jukwaani na kabebwa soksi inaonekana tena imetoboka
 
Wewe mtu wa Kipatimu, acha utani!!!

Jamani hakuna wakati mgumu kama huu kupata habari za magazeti Tanzania kwenye mtandao! Najilaani kwa kuthubutu kuwa nje ya TZ kipindi hiki! Ukigonga Nipashe hamna, Tanzania Daima hamna, hata Mtanzania wanakuletea nakala xza 2009, majira usiombe, ni mwananchi tu na dada yake the citizen, kidog na Guardian....jamani hamna soft copy hata za wiki iliyopita mkatuwekea hapa, hasa yale ya Kubenea, Raia Mwema, Tazania Daima na Nipashe!!!!
 

Ni gazeti ambalo linaibua hisia za uzalendo, na linafanya wale wanaotaka kumuua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere washindwe.
Na welegee, teh, teh,...
 
Ni kweli ni gazeti zuri, linatoa mawazo ya kizalendo.
Wakati umefika tukubali mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…