Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

Hata hyo Dr.bado hujamtendea haki mwte Prof.si zakupeana tu ka jamaa flan hvi pande za moyo?
 
Hapo unachanganya mambo kwa kulinganisha vitu tofauti. Kama unamaanisha maprof na madr kwenye fani ya uandishi wa habari hapo sawa.
 
said kubenea na gazeti lake wanafanya kazi maalum kwa kikundi kidogo call them watu maalum wenye malengo maalum hasa ya kiuchumi na kisiasa. Siwezi kusoma gazeti ambalo kila siku habari ni za EL wakati nchi imejawa na uovu na waovu karibu kila sekta. Hatuhitaji mwandishi mwenye PERSONAL difference na mtu mmoja au taasisi moja. Niko bored na habari za EL karibu ktk kila toleo la mwanahalisi. Hatumuhitaji mwandishi mwenye kutumia taaluma yake na kalamu kubomoa tuu na si kujenga.Anyway time will tell haya yote kama kweli ni hero au anaganga njaa zake tu. We shall know that when time comes..
Wewe kama bado uko hai njoo nikupe bia, :) Anyway leo hii Kubenea anamuona Lowasa malaika
 
Back
Top Bottom