Saddam Hussein, C.I.A & Italian Intelligence Service: Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!

Ishu ni kuwa Ahmed chalabi alikua ni double agent,working for CIA,,lakini kiuhalisia alikuwa ni Ofisa kipenyo wa iran,
Idara ya kijasusi ya iran ndo ilighushi hizo nyaraka za Niger ,kisha chalabi alioewa ili akawa feed false information wamarekani ili wamvamia saddam husein,
Mwishoni marekani waligundua kuwa walichezewa shere na iran,wakamuua Ahmed chalabi
Duhh!!!
 
Back
Top Bottom