Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,004
Upewe uzi wa nini wakati hao CHADEMA hata ofisi tu hawana.Mkuu tupe uzi kabsa
Upewe uzi wa nini wakati hao CHADEMA hata ofisi tu hawana.Mkuu tupe uzi kabsa
Upewe uzi wa nini wakati hao CHADEMA hata ofisi tu hawana.Mkuu tupe uzi kabsa
MKUU NDU gu yangu hapa hatuongelei siasaUpewe uzi wa nini wakati hao CHADEMA hata ofisi tu hawana.
Siasa ni lazima iongelewa kila mahali kwa maana sasa tunaelekea uchaguziMKUU NDU gu yangu hapa hatuongelei siasa
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Jpm baba laousiendelee mdau ishia hapohapo
Unakanya gwaAnachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Jpm baba lao
Sulphur Hexafluoride kuwa neutral katika siasa. Tafuta pesa.Unakanya gwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepita bila kupingwa katika vijiji, mitaa na vitongoji 3,905 kati ya 4,032 vilivyopo sawa na asilimia 96.85.Duuuuuh...
p
Naaam huyu ndiye yeye...Saddam Al-Tikrit.
Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Duuuuuh...
p
Amen na Mungu ampe afya njema huyu baba...Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.
Sawa mkuu.Ukipata muda usisahau kuweka muendelezo.
Mbona unanitukana?Unakanya gwa
CCM oyeeeeee. Wakuu hizi maktaba alizojenga Rais Magufuli viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.Duuuuuh...
p
Asante pia mkuu...Shukrani.
Thanks. Ninatoa ushirikiano kwa namna gani mkuu? Unaweza ukalitolea ufafanuzi hili tafadhali?Mmachompendea Infantry anatoa ushirikiano kwenye mada zake!!