mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Ila kutoa laki mbili kwa makahaba uliwi ......halafu mshahara wako mil 1.5 ???Mtaliwa sana aisee
Ila kutoa laki mbili kwa makahaba uliwi ......halafu mshahara wako mil 1.5 ???Mtaliwa sana aisee
Mbona unahangaika na mambo yasiyokuhusu? Wewe hazina yako tayari iko Mbinguni. kuna hakuna kutu wala wezi.tatizo hilo fungu la kumi linaenda kuliwa na wengine....
Ina maana hapa kwenye biashara VAT 18% unajumlisha na fungu la kumi 10%...... so kwa mfanyabiashara anatengana na 28% ya mapato yake kabla ya kuanza hesabu nyingine?Jumla ya kipato chako. Bila kutoa matumizi.
Kama mfanyabiashara anayopigwa 18 percent ya VAT, hii haihusishi matumizi.
Ukweli upi jiongeze chalii angu..kasali sepaHadi moyo wangu umesisimka kwa hii.....
Umeelezwa ukweli mtupu kwangu aiseee naomba mungu anisaidie aisee
Hauamini baraka za Yesu?Mtaliwa sana aisee
Kutoa fungi la kumi ni sawa,, lakini tatizo ni huko zinakoenda,, ya ani mi nitoe fungu la kumi halafu"nabii" apeleke guest,, never ever
Ni kama unanunua ulinzi wakoNiliwahi kuacha kutoa hii tenth kwa muda kama miezi miwili hivi, nakumbuka ilikua mwaka juzi, mwezi wa 10 na 11 ilipofika december nilipatwa na mabalaa ya kutosha, ka gari kangu kalipata ajali mara tano ndani ya wiki mbili, ajali ndogo ndogo zenye hasara kubwa, kati ya hizo nne zilikuwa ni za kugongwa na bodaboda, na kisha wanakimbia, gharama ya kurepea gari ilifika milioni na zaidi.
Mbona unahangaika na mambo yasiyokuhusu? Wewe hazina yako tayari iko Mbinguni. kuna hakuna kutu wala wezi.
Ni kweli KABISA ila siyo kila penye msaraba unapeleka sadaka hutafanikiwa kwa kiwango kilicho kusudiwa na MUNGU BABA,soma kumbukumbu 12:5 na kumbukumbu 18:18-26
Mungu ndiye anayetupa! Tunatoa zaka kutegemeza huduma ya watumishi was Mungu! Tunatoa kwa furaha na Baraka zake tumeziona! I cannot afford to quit giving my tith!Mtaliwa sana aisee
Hii thread imenipitaje!!! binafsi Nina shuhuda katika hili kwani nilipotoa tu mwezi ulifuata nikapa zawadi ya utendaji bora kazin,nilijiuliza sana.Mwisho wa siku utatuelekeza tutoe hili fungu la kumi kwa nabii yupj, teh teh teh
Hii thread imenipitaje!!! binafsi Nina shuhuda katika hili kwani nilipotoa tu mwezi ulifuata nikapa zawadi ya utendaji bora kazin,nilijiuliza sana.