BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,204
- 14,393
Kama wewe ni mnunuzi bila ya kujali ndio unaanza ama tayari umekuwa mwandamizi ukweli ni kuwa una vitu common na wanunuzi wengine all over the world na kubwa zaidi mnachofanana ni mdomo kuwa mzito.
It's doesn't make any sense mwanaume ambaye uko normal to go madanguroni kununua mwanamke ili hali kuna umati wa jinsia ke mtaani walio single ambao wanakesha kwa kusali wapate japo relationship na wao waonekane wana wenza.
Wanajitetea eti kununua ina save time na cost. kweli hii ni hoja ya kumfanya mtu kununua malaya? Kama unataka kusave time na cost kwa nini usimtongeze hata housegirl ambaye utakuwa unajipigia kuanzia asubuhi pale waajiri wake wanapotoka mpaka jioni wanaporudi huku ukipewa misosi na penzi kwa kujikadiria mwenyewe.
Kuna ufahari gani kwenda kwa mwanamke ambaye mwili wake tayari una harufu ya condoms, mimoshi ya bangi na wakati huo huo mnavutana kuhusu bei anakupeleka kwenye godoro ambalo kuna wanaume takribani kumi wamepita kabla yako wasafi kwa wachafu, vijana kwa wazee, walevi kwa wavuta bangi, hiyo hisia inatokea wapi?
Tukubali kununua ni udhaifu wa kiwango cha mwendokasi, kama mwanaume ni mnunuzi hupaswi kutangaza wala kujisifu na inapaswa ununuaji wako uwe very confidential, no one is supposed to know kama wewe ni mnunuaji even if ni wahuni wako.