Mahusiano na mabinti wa siku hizi zinaboa sana

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,961
Back in a day ilikuwa unaweza kuwa kimawasiliano na binti hata mwaka mzima mkibadilishana taarifa mdogo mdogo mean while mkitoka out ya matembezi, au kuhang pamoja uwanja wa mpira, Beach, bustanini ni ile moment ambapo mnakuwa wawili with little to no cost some times.

Things have changed to the worst impossible reality. Imagine now days ukimtext mdada ambaye umepata mawasiliano yake anaanza na majibu ya kukosa discipline unajua tu huyu ni kilaza na ana malezi ya hovyo.

Unamtext kumsalimia kwa adabu zote anajibu kama anaongea na the lowest form of being.

Anaweza kukuelewa shida yako kuwa ni mahusiano serious and u want to take things slow and one step at a time. But still ataamua kukuchezea na kukufanya ujione dhaifu mbele yake na hana shida na wewe.

Na hapo ndipo atakupangia cha kumpa kwa maana ya pesa au vitu anataka. Au utamwambia tukutane sehemu fulani basi atakukomoa kwa kudemand usafiri wa gharama, good thing now days kuna Uber/bolt and the others zimeshusha gharama sana za usafiri comfortable.

Au atakujia na wenzake kundi, ukijiuliza sababu ya kufanya hivyo ni nini kama sio ushetani hana majibu na kichwa chake kama cylinder head ya Toyota Nadia.

Mwingine utamtext kumsalimia "Hello, Mambo" ataitazama sms yako na kuikalia kimya. Ukimtafuta tena anakujibu "Go straight to the point, unataka nini" Fala m'moja wewe naendaje straight to the point na hatujuani vema nataka kujuana na wewe vizuri?!

Ndio maana ukikuta mwanamke au binti analalamika mapenzi kumtesa usije kumuamini. Hawa viumbe ni 100% waanzilishi wa chaos na matatizo katika maisha yao. Hapo ataringia halafu miaka ikienda ataliwa liwa hovyo then anajifanya sasa amepata upako wa roho mtakatifu na anataka kutulia na mpenzi m'moja wa kweli.

Hakuna kutulia utateseka na mapenzi hadi ushike adabu sababu ya kutoheshimu natural rules of engagement and courtship.

Wengi wa mabinti wa sasa maoni ni kuwa mwanaume aje straight kwenye inbox kama anakuja kununua ngono kwa kahaba. Hawapendi kuheshimika wala kuchukuliwa kwa adabu na nidhamu. Wanataka fasta fasta ile ya Ta ta ta pa pa pa halafu shwaaaaah kimya then who's next.

This explains why now days wanawake wengi wanaishi nje ya mahusiano rasmi ya Ndoa na wanatumika vibaya na kukutana na kila aina ya madhira ya kiafya, kiakili na kiroho.

Nature huwa haisahau, utasali, utatubu, utakesha ukiomba ila haitabadili mavuno yako kutokana na historia yako ambayo umepandikiza na matendo yako ya hovyo na kukosa adabu.

Mtu unakuwa na vituko, maneno ya hovyo, dharau za kipuuzi, matendo ya hasara, kiburi na jeuri za kijinga yote sababu umepewa mvuto wa kuvutia mtu kimapenzi, why don't u learn from the best how its done?

Uzuri huwa unaisha, hayo makalio ni deposits za mafuta tu hizo zitaisha, hiyo ngozi nyororo haitadumu ikifika tu miaka 30 itaanza sinyaa itakuwa kama gunia, hiyo sura yenye glow nzuri itapoteza ung'aavu as soon as ukianza kuingia 28 years. Sasa why utumie uzuri wako kuleta dharau?!
Anyways, kama una hii tabia na umechagua kuwa hivyo then ishi unavyotaka nisikupangie.

Naandika huu uzi baada ya kutafutwa na mdada ambaye aliniletea habari sizo miaka hiyo during teenage years na my early 20's hadi nilipo nyoosha mikono na kukubali defeat. Saa hii ana watoto 3 m'moja wa mwisho baba yake ni huyu wa sasa anaeishi nae, wa kwanza na wa pili kila m'moja ana baba yake. Anaishi na jamaa yake ila naona hajaridhika kabisa na mahusiano haya maana anahisi hayampi hamasa ya kimapenzi kabisa.

Sasa alinitafuta months ago na mwanzoni alioneka kuwa excited kuongea na mimi then baada ya kuongea nae kwa mfululizo wiki 2 akaanza tena dharau akijua mimi ni yule niliyekuwa najali drama zake.

First sign ya dharau yaani ile kumtext halafu akaiblue tick then akapotea hewani kwa masaa then nikaona status then nikawa kimya for two days sikumtafuta, akaja nitafuta the other day nikapokea nikamwambia nitamcheki baadae sikumtafuta nilikaa kimya kusudi na yeye akakaa kimya nikaona huyu hana akili kabisa nikaamua tu huyu mtu ni kumpotezea ananiletea mazoea yale yale akidhani nataka kudeal na ujinga wake na utu uzima huu. Nilifuta contact zake maana nimeona hajakua bado ana upuuzi mwingi.
 
5b96f54d-65e4-4f30-bc73-7976f6748660.jpg
 
Back
Top Bottom