Sad moment in my life ever

Sad moment in my life ever

SAD NEWS TO MY FAMILY

Nimepokea kwa masikitiko makubwa Kifo Cha baba yangu Mzazi Ndugu DAUD JACKSON MUHOFU Kilichotokea Leo tarehe 7/12/2022 kwa ajari ya Ghari Nyumbani Mkoani Kigoma. Hakika nahitaji maombi yenu katika kipindi hiki Kigumu. Mpaka Sasa nipo safarini kuelekea Kigoma kwa ajiri ya mazishi japo Safari itanichukua siku 3 mpaka kufika Nyumbani. Kwahiyo huenda baba yangu akazikwa bila uwepo wangu Kutokana na Safari kuwa ndefu Sana kuelekea Nyumbani.R.I.P My Father,Mungu ailaze Roho yako Mahara pema Peponi,Amen.

View attachment 2439044View attachment 2439045
Pole Mkuu,Mungu akupe Faraja na Uvumilivu...
 
pole sana mkuu Mungu akutie nguvu kwenye hiki kipindi kigumu
 
Nashukuru I Sana kwa wote mlionitumia Salamu za Pole.
 
Pole.

Kila mtu ana njia yake ya kuondoka hapa duniani.

Yote ni kumshukuru Mungu.

Kigoma wapo watu wa Mungu watampumzisha tu vizuri, iombee tu Roho ya Baba ipumzike vizuri.
 
Pole sana ndugu.

Tunasali Mungu akutie nguvu na kukufariji katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yako mpendwa ndugu Muhofu
 
Pole mno mkuu katika kipindi hiki kigumu, kufiwa na mzazi ni kitu cha kuhuzunisha mno,hope's Mwenyezi Mungu atakupa wepesi na Baraka zake ili uwahi mazishi, it's sad just under 1000km,mtu unatumia masaa 72 kufika,mwendo uliotakiwa utumie just 11hrs, ila hapa la muhimu ni msiba na tuwe na matumaini utawahi mazishi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom