Sad moment in my life ever

Sad moment in my life ever

Pole sana mkuu Mungu azidi kuwatia nguvu we pamoja na familia yako
 
SAD NEWS TO MY FAMILY

Nimepokea kwa masikitiko makubwa Kifo Cha baba yangu Mzazi Ndugu DAUD JACKSON MUHOFU Kilichotokea Leo tarehe 7/12/2022 kwa ajari ya Ghari Nyumbani Mkoani Kigoma.

Hakika nahitaji maombi yenu katika kipindi hiki Kigumu. Mpaka Sasa nipo safarini kuelekea Kigoma kwa ajiri ya mazishi japo Safari itanichukua siku 3 mpaka kufika Nyumbani.

Kwahiyo huenda baba yangu akazikwa bila uwepo wangu Kutokana na Safari kuwa ndefu Sana kuelekea Nyumbani.

R.I.P My Father, Mungu ailaze Roho yako Mahala pema Peponi,Amen.

View attachment 2439044View attachment 2439045
Pole sana Mungu akutie nguvu ww na familia nzima.
R.I.P baba wa mwanajamii mwenzetu. Amina
 
Pole sana sana. Mungu azidi kuwatia nguvu. Hiki ni kipindi kigumu mno ila Mungu ni mwema, mtavuka salama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom