GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.

1761376059213.png
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.

1761376071504.png
Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.

Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.

1761376086220.png

1761376095708.png
 
Yako wapi hayo maandamano? Acheni kukuza maandamano yasiyokuwepo, naona wakuu wa vyombo vya habari nao wameingia mkenge wakishupalia mambo yasiyokuwemo. Mnaitia hofu nchi bure, kama ni kupiga kura nendeni tu hakuna wa kuzuia uchaguzi huo
 
Pumbafu zao, wao wanajiona wana haki ya kuua watu na kupoteza watu wasio na hatia ?
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.

Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.

Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.

Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.

Sawa Baba Irene (SASP Abwao) tumekuelewa.
 
Yako wapi hayo maandamano? Acheni kukuza maandamano yasiyokuwepo, naona wakuu wa vyombo vya habari nao wameingia mkenge wakishupalia mambo yasiyokuwemo. Mnaitia hofu nchi bure, kama ni kupiga kura nendeni tu hakuna wa kuzuia uchaguzi huo
Intelijensia imewapa majibu kwamba THIS TIME IS FOR REAL!
 
Akajambe mbele huko
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.

Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.

Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.

Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.

Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa kisheria yanakiuka utaratibu uliowekwa, na yanaweza kupelekea kuvuruga amani ya nchi hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo imetolewa wakati wa mazoezi ya utayari yaliyofanyika Oktoba 24, 2025 katika Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu 29 octoba.

Kamanda Abwao ameongeza kwa kusema tunaendelea kuimarisha usalama wananchi wakae wakifahamu kuwa uchaguzi ni haki ya kila mmoja, lakini tunapaswa kuuheshimu na kuufanikisha kwa amani, sio kwa maandamano.

Aidha, amewataka Maofisa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu, na utii kwa sheria kuhakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi katika mazingira ya utulivu.

Tabora hadi kuna maghorofa Na lami? Hizi picha ni AI asee.
 
Back
Top Bottom