Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,924
- 831,405
Pale Tanganyikaaaa... Lete babaaa..!
Kipofu akifufuka leo Tanganyika atachanganyikiwa na mengi sana! Sana!
Anaibukia Tandale kwa Tumbo akifika huko hilo tumbo halioni
Anatoka hapo mpaka anasafiri mpaka Zenji huko ananyoosha mpaka Kibanda maiti akashuhudie kilivyo.. Loh akifika huko hakuna hata kiwanja chake😀
Kwa uchovu na kuchanganyikiwa anaenda kwa mchambawima.. Maana ameambiwa huko huyo mtu yupo.. Anatamani kushibisha macho take kwa kumshuhudia live!
Anafika kwa mchambawima anamuulizia amuone! Waliopo wanamshangaa huku wengjne wakimcheka naye anabaki kuwashangaa😀
Anaamua kuondoka na kurudi Tanganyika kwa ndugu zake vichogo!
Huko anaambiwa kule Mabibo kuna mahakama ya ndizi.. Anawahi kuona
Kesi zake zikoje
Hakimu ni nani
Mashtaka ni yepi😀
Anaambulia patupu!
Sasa amechoka Ila anatami kwenda Tandale kwa fungo akamuone Fungo kisha aende Manzese uwanja wa fisi akajifaidie kuwaona fisi wakiwa uwanjani wakifanya yao..!
List ni ndefu.. Siku inaisha hakuona kila alichoambiwa kipo anabaki anajiuliza hivi binadamu wenye macho ya kuona wako sawa kweli?
Anaamua kurudi kwenye upofu wake maana ameambiwa pia kuna kizimkazi lakini amegona kabisa kwenda!
Sabuni ya leo.. Povu la jana! 😂