Sabufa za kichina kwanini ziko hivi!

Sabufa za kichina kwanini ziko hivi!

Jaman naombeni msaada kwanini hizi sabufa za kichina mfano sea piano zinakufa mapema sana haswa kwa sauti kubwa. Naombeni msaada na mwenye idea ya kutengeneza nimefungua nimekuta resistor zimekuwa nyeusi.
Ulinunua shilingi ngapi?
 
Subwoofer nyingi za kichina hutengenezwa kwa component za low quality, na ndio maana hata bei zake ni za chini, hata utumizi wake wa umeme si mzuri. Nzuri zipo za hao hao wachina ila importers wengi ambao ni wabongo wanakimbilia vya rahisi kulingana na soko na vipato hafifu vya Watanzania wengi.
 
niko singida sasa ...nilinunua laki tu
 
bluetooth speaker nyingi za makampuni ya kuaminika zinauzwa chini ya laki 1, kuna tofauti sana kati yake na subwoofer?
Unaongelea spika noja moja? Kama ni audio system yenye spika zaidi ya moja iuzwe. kwa bei hiyo tena toka kampuni kubwa? Sijui!
K
Mfano audio system yenye subwoofer ya LG inayotumia bluetooth connection na dvd player niliuliza bei hapa Mbeya ilikuwa inauzwa 1.8 mil Tshs.
 
spika moja tu, bluetooth speaker

jbl-flip-3-04.jpg
 
Jaman naombeni msaada kwanini hizi sabufa za kichina mfano sea piano zinakufa mapema sana haswa kwa sauti kubwa. Naombeni msaada na mwenye idea ya kutengeneza nimefungua nimekuta resistor zimekuwa nyeusi.

Imekufaje kwa sauti kubwa? Umeifungua na umekuta resistor? au IC? imekuwa nyeusi.

Ngoja nikupe Ufafanuzi kiasi.
1. Hiyo SeaPiano ni multimedia speaker System ambayo inaweza kuwa 2.1 au 5.1 channel.
endapo ni ni 2.1 basi itakuwa na IC 3 na kama ni 5.1 basi itakuwa na IC 4 au 5 au 6 kutegemeana na ukubwa (Power in WATTS)

2. Mara nyingi kinachoungua ni IC (especially IC ya speaker kubwa -SUBWOOFER) na husababishwa na ufunguliaji wa sauti kubwa muda mrefu hivyo ina OVERHEAT.

3. Pia inaweza kuua Fuse ( kutokana na matatizo ya umeme) au inaweza kuua vyote Fuse na IC.

-----------------------------------------------------------------------

Kuhusu Ubora wa hizi bidhaa.
1.Zinatumia TRANSFOMER Powersupply (LINEAR PSU) na huwa HAZINA PROTECTION ya uhakika.
2. Cooling system zake hazitoshelezi kupooza joto la IC kwa matumizi makubwa.
3. IC za surrounding speaker ndio aina hiyo hiyo inatumika kwenye subwoofer speaker (sidhani kama huwa wanaconsider vigezo).
4. Zinakula umeme tena hata kama ipo standby.
 
Ungekuwa upo mbeya ngekurekebishia,sijawahi shindwa kurepear subwoofers km hzo. Km siyo fundi mtafute tu fundi lasivyo unaweza harbu zaidi kwani hzo unazosema nyeusi resistors wakat mwingne siyo kuwa zmeungua ni sababu tu za joto.
 
Back
Top Bottom