Kinyamagala
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 154
- 29
Welldone Mzee Sabodo
Sioni tatizo la kuchukua msaada kwa huyu mzee,ila inapaswa kuchukuliwa kwa umakini sana.Isije ikawa source yake ni sehemu isiyo salama...
Chadema achaneni na misaada ya hawa wafanyabiashara, yatawakuta kama ya ccm.
Chadema achaneni na misaada ya hawa wafanyabiashara, yatawakuta kama ya ccm.
Hakika wengine tunatoa taadhari hata CCM waliaanza hivyo hivyo,uzuri wakati CCM wanatoka huko chadema ndio wanaingia huko anyway inafikia sehemu wengine wataamini kuwa CCM ndie baba wa mageuzi hivyo siku zote kitaendelea kuwa chama kisicho na mmbadala kwa kuwa wanatumia udhaifu wa vyama vya siasa na sayansi ya siasa za bongo kuendelea kutawala.Ukipokea ujue kuwa kunakutoa.
Tumesema kwa kuwa time will tell.
Juu Sabodo juu Chadema, juu Slaa Rais wetu come 2015.
Muhindi akiichangia CHADEMA anakuwa anakuwa Mzalendo ila akichangia CCM anakuwa fisadi!!! Huyu SABODO kama kazaliwa Lindi mbona haleti maendeleo huku Lindi? Lindi hatuna maji ya kunywa tunakunywa maji ya Bahari yenye chumvi. Lindi inanuka kwa umasikini yeye anapeleka misaada CHADEMA. Njoo huku kwako Lindi utuangalie wamatumbi wenzako. TRA inabidi wanyemelee kodi kwa huyu mzee.
Hakika wengine tunatoa taadhari hata CCM waliaanza hivyo hivyo,uzuri wakati CCM wanatoka huko chadema ndio wanaingia huko anyway inafikia sehemu wengine wataamini kuwa CCM ndie baba wa mageuzi hivyo siku zote kitaendelea kuwa chama kisicho na mmbadala kwa kuwa wanatumia udhaifu wa vyama vya siasa na sayansi ya siasa za bongo kuendelea kutawala.Ukipokea ujue kuwa kunakutoa.
Tumesema kwa kuwa time will tell.
CDM wanapokea pesa za wafanyabiasha wasidhani huyu muhindi anatoa pesa ya bure.
Halafu hawajuhi Sabodo anafanya biashara gani
Tusijetukajidanganya kwamba mtu mwenye pesa nyingi SI HALALI na mwenye pesa kidogo ni HALALI;Ukweli unaweza kuwa kinyume chake.Ndie huyu mwenye kutetea Watanzania wenye asili ya Kiasia wa NHC au mwingine?,hakika mbele ya safari CDM mkiendelea na tabia ya kupokea Pesa za aina hiii,zile sifa zenu zote kama CHAMA MAKINI zitapotea huko mbele ya safari na ndio itakuwa mwanzo wa kununuliwa kusimamia haki.Tafuteni vyanzo vya umma kukusanya pesa ya kuendeshea chama ili mje kupata dhamana ya kukabidhiwa Nchi.
Watoa pesa nyingi kiasi hicho jueni zitaitajika kulipwa,mtaziludishaje hizo pesa,kwaa njia hipi,au ndio muwape nafasi wapinzain wenu kuwa mtalazimisha kwenda ikulu ili mlipe pesa za matajiri wa kiasia walio ingiza [Inject] kwenye chama chenu.Ninategemea chadema kuwa chama chenye mvuto na style ya aina yake na sio kucopy na kupaste namna ya kujitengenezea pesa.Chama kizuri ni kile chenye watu waliozamilia [Commited] na kujituma kwa hiali na moyo kufanya kazi ya kutumika chama kwa moyo wa hiali na sio kwa kununua mbinu za kuwapata wananchi wa kukiunga mkono chama.
Kwa kusudio kuwa Taifa linaitaji vyama viwili makini vya kupambanishwa katika kufukuzia nafasi ya kupewa madaraka ya kuchukua nafasi ya Urais na kutawala Taifa hili,basi CDM kama wao pia wako katika list hiyo basi hawana budi kujiandaa namna ya kumilki chama chenye mkakati wa kisayansi na sio chenye kucopy na kupaste hivyo kwa watu makini hakuna tofauti na kwingine hivyo basi wataona ni bora na kuendelea na chama kilichoko madarakani kulikoni kuwa na chama ambacho hakina tofauti na hawajui uwezo wake kama kweli kinaweza.Hivyo wataona ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili au heri ya zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Kama chadema ni makini Watch Out.
CDM wanapokea pesa za wafanyabiasha wasidhani huyu muhindi anatoa pesa ya bure.
Halafu hawajuhi Sabodo anafanya biashara gani