Sabodo kumchangia mgombea wa CHADEMA milioni 500

Sioni tatizo la kuchukua msaada kwa huyu mzee,ila inapaswa kuchukuliwa kwa umakini sana.Isije ikawa source yake ni sehemu isiyo salama...

Sabado kama vyanzo vyake vya hela visingekuwa halali siku nyingi angeshashughulikiwa na serikali, maana kama unakumbuka alishafanya supporting kubwa wakati wa kampeni mwaka jana. Lazima magamba yalishamchunguza kama ni mlipa kodi mzuri. Ahsante Mzee Sabado uko ki matendo zaidi
 
tofauti na ccm chadema imekuwa ikipokea pesa kutoka kwa mfanyabiashara huyo katika hali ya uwazi na kuainisha malengo ya msaada huo kitu ambacho kinakosekana kwa ccm.
 
Chadema achaneni na misaada ya hawa wafanyabiashara, yatawakuta kama ya ccm.

Hakika wengine tunatoa taadhari hata CCM waliaanza hivyo hivyo,uzuri wakati CCM wanatoka huko chadema ndio wanaingia huko anyway inafikia sehemu wengine wataamini kuwa CCM ndie baba wa mageuzi hivyo siku zote kitaendelea kuwa chama kisicho na mmbadala kwa kuwa wanatumia udhaifu wa vyama vya siasa na sayansi ya siasa za bongo kuendelea kutawala.Ukipokea ujue kuwa kunakutoa.

Tumesema kwa kuwa time will tell.
 
Chadema achaneni na misaada ya hawa wafanyabiashara, yatawakuta kama ya ccm.

kumbe ccm wao ndo wanavyofanya hata kufikia kushindwa kufanya maamuzi pindi wanapogoma, duh ndo umenifungua akilia mzee, na vilevile ccm kumbe nia chama cha mafisadi au sijakuelewa vizuri...?
 
Hakika wengine tunatoa taadhari hata CCM waliaanza hivyo hivyo,uzuri wakati CCM wanatoka huko chadema ndio wanaingia huko anyway inafikia sehemu wengine wataamini kuwa CCM ndie baba wa mageuzi hivyo siku zote kitaendelea kuwa chama kisicho na mmbadala kwa kuwa wanatumia udhaifu wa vyama vya siasa na sayansi ya siasa za bongo kuendelea kutawala.Ukipokea ujue kuwa kunakutoa.

Tumesema kwa kuwa time will tell.

Muhindi akiichangia CHADEMA anakuwa anakuwa Mzalendo ila akichangia CCM anakuwa fisadi!!! Huyu SABODO kama kazaliwa Lindi mbona haleti maendeleo huku Lindi? Lindi hatuna maji ya kunywa tunakunywa maji ya Bahari yenye chumvi. Lindi inanuka kwa umasikini yeye anapeleka misaada CHADEMA. Njoo huku kwako Lindi utuangalie wamatumbi wenzako. TRA inabidi wanyemelee kodi kwa huyu mzee.
 
Juu Sabodo juu Chadema, juu Slaa Rais wetu come 2015.

Uliona wapi adui yako anakupa silaha umpige !!!!!!!! Please tathmini,Yanga na Simba walikuwa wanapokea Pesa toka kwa wafadhili matokeo yake timu hizo zimestuka sasa kwani ulipofika wakati wa kupanga timu [safu] kwa ajili ya mechi kama mfadhiili ana interest na mechi husika ana wazuia wachezaji aliowalipia kwenye usajili kisha timu inaingia matatizoni kwa wachezaji kususia mechi na migogolo isiyoisha.

Kupokea kwa chama cha siasa kitawafanya wapumbazike na kushindwa kutafuta njia genuine za kujiingizia kipato cha kuendeshea chama matokeo yake watawategemea wafadhili ambao kwa siku isiyo na jina wafadhili wata pull out na kuwaacha chadema kwenye uhitaji mkubwa sana wa kifedha na majukumu ya kukamilisha kupitia fedha hizo na kuzingatia wamebweteka na hapo ndio the sinking boat will loose the direction and its where the hunter become hunted.
 
Muhindi akiichangia CHADEMA anakuwa anakuwa Mzalendo ila akichangia CCM anakuwa fisadi!!! Huyu SABODO kama kazaliwa Lindi mbona haleti maendeleo huku Lindi? Lindi hatuna maji ya kunywa tunakunywa maji ya Bahari yenye chumvi. Lindi inanuka kwa umasikini yeye anapeleka misaada CHADEMA. Njoo huku kwako Lindi utuangalie wamatumbi wenzako. TRA inabidi wanyemelee kodi kwa huyu mzee.

Kwenye nyekundu kimbunga your right,chadema wafikilie kama walivyofikilia swala la madiwani wa arusha.
 
SABODO alielezea waziwazi jinsi makampuni ya simu yanavyokwepa kodi pia akataka yawe listed DSE.Mswada ukapita bungeni, jk akakataa ku saini mpaka leo baada ya ma ceo wa airtel,vodacom,tigo,zantel kukutana na jk na kumpa mshiko wa nguvu
 
CDM wanapokea pesa za wafanyabiasha wasidhani huyu muhindi anatoa pesa ya bure.

Halafu hawajuhi Sabodo anafanya biashara gani
 
Hakika wengine tunatoa taadhari hata CCM waliaanza hivyo hivyo,uzuri wakati CCM wanatoka huko chadema ndio wanaingia huko anyway inafikia sehemu wengine wataamini kuwa CCM ndie baba wa mageuzi hivyo siku zote kitaendelea kuwa chama kisicho na mmbadala kwa kuwa wanatumia udhaifu wa vyama vya siasa na sayansi ya siasa za bongo kuendelea kutawala.Ukipokea ujue kuwa kunakutoa.

Tumesema kwa kuwa time will tell.

jamani tuache mawazo mfu.Huo msaada ametoa kwa Slaa na mkewe wagawane? Wananchi watafaidika na huduma ya maji nchi nzima? Unataka nini tena? Au ulitaka awape mafichoni? Ukweli siku zote utakuweka huru.
 
Mfano mzuri kwa wafanyabiashara wakubwa nchini..truly this man has a vision
 
Hongera Mzee Sabodo. Pole kwa matatizo ya kiafya uliyonayo. Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda, akupe afya njema, nguvu na ujasiri wa kuwasaidia wanyonge na maskini wa nchi hii.
 
Ndie huyu mwenye kutetea Watanzania wenye asili ya Kiasia wa NHC au mwingine?,hakika mbele ya safari CDM mkiendelea na tabia ya kupokea Pesa za aina hiii,zile sifa zenu zote kama CHAMA MAKINI zitapotea huko mbele ya safari na ndio itakuwa mwanzo wa kununuliwa kusimamia haki.Tafuteni vyanzo vya umma kukusanya pesa ya kuendeshea chama ili mje kupata dhamana ya kukabidhiwa Nchi.

Watoa pesa nyingi kiasi hicho jueni zitaitajika kulipwa,mtaziludishaje hizo pesa,kwaa njia hipi,au ndio muwape nafasi wapinzain wenu kuwa mtalazimisha kwenda ikulu ili mlipe pesa za matajiri wa kiasia walio ingiza [Inject] kwenye chama chenu.Ninategemea chadema kuwa chama chenye mvuto na style ya aina yake na sio kucopy na kupaste namna ya kujitengenezea pesa.Chama kizuri ni kile chenye watu waliozamilia [Commited] na kujituma kwa hiali na moyo kufanya kazi ya kutumika chama kwa moyo wa hiali na sio kwa kununua mbinu za kuwapata wananchi wa kukiunga mkono chama.

Kwa kusudio kuwa Taifa linaitaji vyama viwili makini vya kupambanishwa katika kufukuzia nafasi ya kupewa madaraka ya kuchukua nafasi ya Urais na kutawala Taifa hili,basi CDM kama wao pia wako katika list hiyo basi hawana budi kujiandaa namna ya kumilki chama chenye mkakati wa kisayansi na sio chenye kucopy na kupaste hivyo kwa watu makini hakuna tofauti na kwingine hivyo basi wataona ni bora na kuendelea na chama kilichoko madarakani kulikoni kuwa na chama ambacho hakina tofauti na hawajui uwezo wake kama kweli kinaweza.Hivyo wataona ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili au heri ya zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Kama chadema ni makini Watch Out.
Tusijetukajidanganya kwamba mtu mwenye pesa nyingi SI HALALI na mwenye pesa kidogo ni HALALI;Ukweli unaweza kuwa kinyume chake.
Tusije tukajiaminisha pia kuwa watu wa kipato cha chini tu ndio wa kuaminika.Tutakuwa tunajidanganya.

"A millionaire can equally well be a socialist; he may value his wealth only because it can be used in the service of
his fellow men. But the man who uses wealth for the purpose of dominating any of his fellows is​
a capitalist. So is the man who would if he could!".Nyerere.
 
CDM wanapokea pesa za wafanyabiasha wasidhani huyu muhindi anatoa pesa ya bure.

Ndio hatoi pesa bure anataka zifanyiwe kazi watu wapate maji.

Halafu hawajuhi Sabodo anafanya biashara gani

Tunajua anafanya biashara gani na kampuni zake zinajulikana. Huwezi kumlinganisha na mwizi mkubwa Tamil mfadhili wa ccm wenye kashfa ya dili la rada.
 
Wala sina matatizo na Sabodo kuichangia CDM but picha ninayopata ni kwamba kumbe CDM unaweza kuihujumu kwa ki2 kinachoitwa misaada ya wazi inayolenga kuunga mkono harakati za kuiondoa CCM madarakani! Sabodo anaweza asiwe na nia mbaya dhidi ya CDM but kwa staili hii, kumbe CCM snipers wana uwezo wa kuifutilia mbali CDM kwenye sura yake ya sasa!
 
Back
Top Bottom