Sabodo atoa rambirambi kwa Wahanga.

Sabodo atoa rambirambi kwa Wahanga.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,784
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.

Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara mia…Amen.
 
Ni mfano wa kuigwa, amekuwa akitoa sapoti mara kadhaa kwa upinzani ingawaje yeye ni mwana CCM, inadhihirisha ukomavu wake katika kujali maendeleo ya demokrasia, pia anadhihirisha siasa si chuki bali upinzani wa sera kwa maendeleo, He is my Role Model indeed!
 
huyu mzee siku zote amekuwa mwanamageuzi halisi kabisa, Mungu azidi kumzidishia sana sana
 
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.

Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara miaAmen.

Mungu ambariki sana ndugu yetu huyo.
 
Mungu amzidishie ndugu yetu Sabodo, CCM watuache wafu tuzike wafu wetu.
 
Wakuu,
Ni ajabu na kweli.
.
Nimetumiwa ujumbe na taasisi ya Arusha-Mambo kuwa Mfanyabiashara Sabodo ametoa tshs 5M kwa familia ya Ismail, na tshs 5M kwa familia ya Denis, kama rambirambi zake kwa familia za marehemu wanamapinduzi na wapenda amani hao, waliouwawa na polisi mkoani Arusha.

Tunamshukuru sana Mh.Sabodo kwa salamu hizo ambazo tunaamini kuwa zitasaidia japo kwa kiasi fulani kuzifariji familia hizi, Mungu amzidishie mara mia…Amen.

Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.
 
Mambo ya Sabodo ni ya ki-liberal sana, hata kama ni kada wa sisiemu. Mungu amzidishie pato lake kwa tendo lake la kuwafariji wafiwa
 
Mungu amwongezee mara elfu alichonacho!
 
he is a strong man,haogopi wala kufanya mambo kwa kificho,he is smart and am sure he is clean
 
Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.
Achana na huyo Mpemba...

Hao wanachojua ni kuwa mtu yeyote mnayepishana kiitikadi haitakiwi hata kumzika...!
Sabodo hafungwi na mipaka ya kiitikadi, na si mnafiki wa kujipendekeza kama walivyo waasia wengine wote!
 
Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.

bado anaota ukuu wa kambi ya upinzani bungeni ubinafsi wake haujifichi badala ya kuchangamka bara wapate viti vingi anakalia wivu.pole zake
 
Abarikiwe zaidi mzee sabodo,
Kuna mtu anajiita Mh. Hamad Rashid Mohamed alikuwa anamkejeli Sabodo kule kwa wanabidii.
Sasa nadhani huyu mtanzania mpemba atakuwa amefungwa mdomo, manake yeye hakutaka hata kuonyesha masikitiko kwa vifo vya watanzaia wasiokuwa na hatia.
Wapemba wana wivu sana itikadi tu wanawekeana vinyesi kwenye visima.
 
Back
Top Bottom