Sabodo atoa rambirambi kwa Wahanga.

Sabodo atoa rambirambi kwa Wahanga.

Sabodo anajipendekeza tu kwa CDM.

Hawezi kusaidia wafiwa kimya kimya kama wafanyavyo wengi wenye pesa zao?

Mpaka apige tarumbeta???

Huo ni msaada wa kisiasa na kisanii. Ni unafiki, pia ni kuwadhalilisha wafiwa.

Shame on him.

We naye umezidi kila siku ni kupinga tu, hujui kama kutangaza umesaidia ni kutoa hamasa na kwa wengine wazidi kusaidia? Mungu ameona na sisi wanadamu tumeona, mie nadhani si mbaya kutaja kitu ulichosaidia. Na kuwasaidia wafiwa si kuwadhalilisha maanake pengine marehemu wameacha mke, watoto, kwa hiyo kiasi hicho cha pesa chaweza kuwasidia katika maisha yao japo kidogo.
 
Huyo achana nae ndugu yangu
 
mungu akupe rehema na furaha akuangazie katika maisha yako na akuzidishie mara dufu kwa wema wako
 
Mungu amzidishie na biashara zake halali zizidi kushamiri.AMEN
 
Sabodo anajipendekeza tu kwa CDM.

Hawezi kusaidia wafiwa kimya kimya kama wafanyavyo wengi wenye pesa zao?

Mpaka apige tarumbeta???

Huo ni msaada wa kisiasa na kisanii. Ni unafiki, pia ni kuwadhalilisha wafiwa.

Shame on him.

Vyovyote,mke wa Dennis jana aliomba asaidiwe aweze mudu watoto,tuliona kwa TV,hakuna ubaya Sabodo kutoa rambirambi,ndo na wengine waendelee kuchanga nao......
Ingependeza nawe ungechangia japo kwa siri.
 
Watu kama mzee sabodo ni wachache,Kumbuka yeye ndiye kada na mfadhili wa kifedha ndani Ya CCM.Lakini alipinga vikari swala la JK kuinua mikono ya Lowassa and Mramba huku akisema ni watu safi wachagueni.Alitoa Milion 100 kwa chadema ilikuimarisha nguvu ya uma kipindi cha kampeni,Leo tena anawafariji wahanga kwakweli Mungu ambariki sana.Ni mentaly liberal.Stay blessed Mzee.
 
Sabodo anajipendekeza tu kwa CDM.

Hawezi kusaidia wafiwa kimya kimya kama wafanyavyo wengi wenye pesa zao?

Mpaka apige tarumbeta???

Huo ni msaada wa kisiasa na kisanii. Ni unafiki, pia ni kuwadhalilisha wafiwa.

Shame on him.

mod akinipiga ban mjue sababu ni huyu **&&&ke
 
Back
Top Bottom