SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.

Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.

Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.

Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.

View attachment 1987100

Blair kama wazungu wengi mikono yake imejaa damu ya watu wasiokuwa na hatia.

Ukitaka tafasiri halisi ya gaidi, basi Toney Blair ni miongoni mwa wachache kati ya wengi wanaokidhi vigezo vyote vya kuwa gaidi.

Kwa usuli huo tu, uhalali wa Blair kuwa na uhalali wa kushauri mtu timamu ni wa mashaka sana.
 
Naona mama ameamua kumkumbatia kabisa Beberu aliyekuwa anakejeliwa na Mtangulizi wake!!

Mataga mko wapi!! Yaani Legacy haienziwi hata kidogo!!
Mtangulizi alikopa dola 12b kwa mabeberu,ni kawaida kwa wanawake wa hovyo kukutangaza una kibamia,huwezi Mambo,ilhali mkiwa ndani hupiga kelele za utamu
 
Kumbuka nchi za kiafrika nyingi zilianza kupata msaada toka WHO wakati nyinyi na Jiwe wenu mlikuwa mnajifukiza NYUNGU!! Sasa mmezinduka baada ya JIWE kutwaliwa ni lazima mkimbie ili muweze kunusulika na kuchelewa kwenu na ndio maana akili kubwa ikatafuta mtu anaeweza kumuingia BIDEN na kufanikisha hilo!!! Rwanda wanamtumia Blair, unaona Mafanikio yao wewe bwege unaeniita mimi mtoto wa nursery?
Nawe ni boya tu! Kwani unahitaji mshauri toka ulaya ili upate chanjo? We hukusikia Brazil wakilazimishwa kupokea chanjo. Namna hii tukiwa na watu kama wewe, nchi italawitiwa kwa kisingizio cha misaada.
 
Nawe ni boya tu! Kwani unahitaji mshauri toka ulaya ili upate chanjo? We hukusikia Brazil wakilazimishwa kupokea chanjo. Namna hii tukiwa na watu kama wewe, nchi italawitiwa kwa kisingizio cha misaada.

Hata mlipokuwa na madeni mpaka matakoni vile vile mlisema hamuhitaji ushauri ili mpunguziwe hayo madeni mpaka pale akili kubwa ilipoona umuhimu wa kuwa na watu wa kuwasaidia to make your case!!! Sasa nyie waumini wa NYUNGU mmeanza kusema hamuhitaji ushauri ili kupata chanjo; kumbuka hizi chanjo huwezi kutoka na sandarusi ya hela ukasema unakwenda kununa kwenye makampuni yanayotengeneza na kuzipata kama JIWE alivyokwenda kununua ndege!!

Demand ya chanjo duniani ni kubwa kuliko upatikanaji wake na ndio maana hizi chanjo zinakuwa rationed. Chanjo ni strategic resource kama silaha za kivita; serikali ya Marekani inahusika jinsi ya kuzigawa na hapo ndio umuhimu wa kuwa na mshauri kama Blair unapojitokeza. Kuna mlolongo wa nchi unazihitaji hizi chanjo, je nchi yetu iliyoanza kwa kukataa kuwepo corona itaruka vipi mlolongo wa nchi zilizotangulia kutaka kupata hizo chanjo bila msaada wa ushauri wa wataalam?

Kama ni nchi kulawitiwa nikitumia lugha yako, ilikuwa inalawitiwa hata MAGUFULI wenu alipokuwa hai!!
 
Hata mlipokuwa na madeni mpaka matakoni vile vile mlisema hamuhitaji ushauri ili mpunguziwe hayo madeni Mpaka pale akili kuwa ilipoona umuhimu wa kuwa na watu wa kuwasaidia to make your case!!! Sasa nyie waumini wa NYUNGU mmeanza kusema hamuhitaji ushauri ili kupata chanjo; kumbuka hizi chanjo huwezi kutoka na sandarusi ya hela ukasema unakwenda kununa kwenye makampuni yanayotengeneza na kuzipata kama JIWE alivyokwenda kununua ndege!!

Demand ya chanjo duniani ni kubwa kuliko upatikanaji wake na ndio maana hizi chanjo zinakuwa rationed. Chanjo ni strategic resource kama silaha za kivita; serikali ya Marekani inahusika jinsi ya kuzigawa ana hapo ndio umuhimu wa kuwa na mshauri kama Blair unapojitokeza. Kuna mlolongo wa nchi unazihitaji hizi chanjo, je nchi yetu iliyoanza kwa kukataa kuwepo corona itaruka vipi mlolongo wa nchi zilizotangulia kutaka kupata hizo chanjo bila msaada wa ushauri wa wataalam?
You must be stupid! Kwa hiyo unaamini wazungu wakikupenda wanakupa chanjo?
 
Back
Top Bottom