Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia ana experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview kama hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
Du............!
Mzee hii mada yako ulikuwa ina bashiria mabaya yatakayomuandama Sabaya , and you were right 100%.
 
Tutoke kwenye reactive mode twende kwenye proactive mode! Setting news agenda to issues, which matters most! Tuache kuchezea pia, mambo mengi yanatusubiri!
Sabaya sasa anaimbishwa na manyampara pale kisongo.
Kundi lenu ni is hovyo sana
 
Juzi watu walipiga kelele baada ya Sabaya kutumia clouds kujijenga kisiasa na kumfurahisha mteule ili aendelee kula maisha ya udc. Leo kawekwa pembeni kwa tuhuma zile zile za mitandaoni. Je mnaotumika clouds kufanya siasa chafu mnajua madhara yake kwa jamii.? Fedha na madaraka vitawapeleka wapi? Mnapaswa kuomba rqdhi jamii kwa matumiko mnayofanyiwa na wanasiasa
Umenikumbusha yule mwenyekiti wa uvccm
 
Clouds kosa lao ni lipi?

Mnapigania uhuru wa kuongea ila hamtaki wenzenu waongee.

Tabia za kidkteta hizo...mtu mnataka ahukumiwe bila kujitetea.

Clouds wakihoji msiowapenda inakuwa radio mbaya.

Haya ya Sabaya ni matokeo ya uongozi dhaifu unaocheza ngoma za mitandaoni.

Kiongozi anaeshinda insta kufatilia udaku ni bomu linalosubiri kulipuka.
Kwishaaaaa habari zenu na kundi lenu haramu
 
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia ana experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview kama hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana

Lilikuwa sikio la kufa.
 
Siku Arobaini zake zilikuwa Zimetimia Mkuu
 
Mtoa mada wewe umenena yaliyo kweli tupu, pamoja na vitendo vyake dhalimu alivyofanya mwovu huyu katika kipindi cha awamu ya tano na kuonekana kama ni mshindi alitakiwa kwanza akae kimya na kusoma upepo kwanza.

Hakujua kama Rais Mama Samia yeye kama mwanasiasa mkongwe haogopi upinzani kamwe kama mtangulizi wake, kwa hiyo yeye mwovu sabaya alichukua yale matendo yake kama ni ushindi na kutaka ajulikane kama ni mtu mzuri sasa kile kipindi na clouds TV ndicho kilichommaliza kabisa na kuibua hasira nyingi tuu dhidi yake na ndicho kilichopelekea akamatwe.

Ni mjinga kabisa huyu sasa yupo kisongo gerezani wakati yeye alidhani ataupata ukatibu mkuu wa ccm au katibu mwenezi na kama angekosa hivi angepata hata uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
 
Sikilizaa wa
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.

Kubugi kwenyewe ni hivi:
1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda.

Kwamba mnataka upande wa stori "yenu" usikike, kwamba nyinyi ni wapigania chama, kwamba yote yale ya uonevu uliyokuwa ukifanya ni kwa masilahi mapana ya chama, kwamba mkiachwa kwenye teuzi zijazo basi ni kama vile mmeonewa kwa kazi "nzuri" mliyokifanyia chama.

2. Interview yako imekaa kama promo hivi ili "mama" ajue upo na "akuelewe"
Katika tetesi hizi kuwa kuna uwezekano mama akafanya reshuffle ya wakuu wa mikoa au wilaya, timing ya interview yako ni kama vile unatuma meseji kwa rais Samia, kuwa mama nipo, nisikie, usinisahau. Sasa hii inaweza kuwa nzuri kama inafanyika kwenye nyakati za kawaida, lakini siyo timing ya sasa ambayo mama amehint kuendelea kuisuka serikali yake. Ulichokifanya ni kama mtoto anayejiimbilisha muda karibu na msosi ili Mama ajue ana njaa!. Wazazi wengine huchukia hii tabia kwa sababu ni manipulative

3. Mama Samia siyo mpenda kiki na Macamera kwa kiwango cha Mtangulizi wake, Na hii sifiasifia uliyoifanya ya "Mama atatuvusha" ni muendelezo uleule wa wateule kumsifu mteuaji ili wapate teuzi au kulinda teuzi zao. Sasa Samia ana experience ya kutosha juu ya wateule waliokuwa wakikazana kumsifu Magufuli lakini alivyokufa tuliona walivyokuwa wakishindana kuponda, na kama wasingewekeana breki hali ingekuwa mbaya sana.

4. Timing ya Interview yako na hasira za wananchi juu ya Benzi la mzee Mwinyi na kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni mbaya kwa aina ya viongozi kama wewe! —Nakuhakikishia Bwana Sabaya, Samia asingependa kutengeneza mtu wa aina ya Makonda alivyokuwa kipindi cha Magufuli. Sababu mojawapo ya Magufuli kupoteza mvuto wa kusiasa mwishoni mwa waka 2016 hadi mwishoni mwa mwaka 2018 ni kwa kumkubatia Makonda. Sasa Samia keshaonja hasira na shombo za wananchi katika matukio hayo mawili niliyoyataja, Sasa mtu wa rekodi zako itamfanya Samia afikirie mara mbilimbili kukuteua maana keshaijua hasira ya wananchi inaweza kuwa kali kiasi gani.

Siku nyingine, Ukitaka kufanya Interview kama hii ya kujikosha, hakikisha unaleta na mtu mwingine wa kuzugia ili mhojiwe nyote, ungeleta hata mkuu wa wilaya mwingine mkahijiwa nyote wawili lakini focus ikawa kwako, La sivyo Interview yako ni pure propaganda, ni nanipulative na ni ya kutafuta kiki.

Clouds nao watumiage akili wakati mwingine wasitumike kisiasa, wanajishusha sana
Maongeziyaoo na lemaa

Hukonyumaaa

Lema ;sabayaa nakuonyaa achakuumiza watu mi mhuni

#saaby ;lemaa achahizo sisi wote wahuni achahizoo

#mhunianakuwasmarttokalini!!??labdakwahuniwenzie
M
 
Akili yake ndogo! Huku Hai amemjaza mke wa Mtu mimba, alafu amemwamuru mwanaume hakuna kumwacha mke wako! Alafu kuna jamaa alifanyiwa U-sodoma na Gomora, kisha wakamdedisha!

Siasa za huyu jamaa na move zake zote ni za kijinga na kitoto sana! Kuhusu clouds, unaweza kuta wamepiga mpunga wa maana sana kufanya ile interview!
Mkuu na hii tuunganishe kwenye kesi zake aozee jela
 
Hiki kituo kimekosa mkurugenzi wa vipindi,tangu Boss Ruge afariki,kituo kimeyumba sana,
Nakumbuka ishu ya shirawadu walipotakiwa warushe mahojiano Kati ya mwanamke anayedai alizaa na Gwajima,harafu akatelekezwa,Ruge aliwauliza vijana wa shiradu kama 'wamebalance story kwa kuhoji upande wa pili,yaani Gwajima mwenyewe,vijana wakasema hawajaweza kuongea na Gwajima,Ruge akawashauri wasirushe kipindi hewani mpaka story ibalance,kwa kumuoji Gwajima,kipindi hakikurushwa mpaka mweu mmoja Makonda alipovamia kituo na kulazimisha
Huenda hilo ndo ‘kosa’ lilosababisha kifo chake huyo Rugwe!
 
Back
Top Bottom