Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

Waziri wa afya wingereza,amethibitisha kupata corona baada ya kudungwa chanjo kikamilifu,Magufuli was very right,in fact magu ni nabii aliye pita.
 
Jambazi sabaya kesi yake inatakiwa iwe inasomwa kila baada ya miezi 6 , akae kwanza rumande aione gondoigwa.
 
Huyu jamaa naamini akihukumiwa kifungo bado kuna adhabu nyingine za vifungo zitaendelea kumfuata huko gerezani, maana haya mashtaka mapya dhidi yake hayawezi kumuacha salama, na wale wajinga wanaomtetea wajiandae kumsaidia kutumikia sehemu ya hivyo vifungo kama wanampenda sana.
Hata akiachiwa huru, bado maisha yake mtaani yatakuwa magumu sana...
 
Nina hakika kabisa kuwa huyu Sabaya safari hii hatoboi, licha ya wale wapambe wake kumpigania kuwa nguvu zote😁
Tatizo la hao wapambe na Mataga wake wanampigania kwenye mitandao,utafikili mitandao ndiyo imemshitaki.

Hao wapambe Kama Wana uchungu na SABAYA wangeandamana Kama walivyofanya wa south Afirika zidi ya Zuma.
 
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa

View attachment 1859109
juzi si kaachiwa huru? why?

mwanzo mbaya

wewe kila siku unajipa moyo, uko nje maisha ni tofauti kabisa na jumu JF

wewe sio siasa tu hata personal life ni mtu wa kukosakosa, kushindwa na kuishi kwa hasira hasira

Huko Hai kuna mashoga? walitakiwa kuwa washamuua sabaya miaka mingi sana...why yuko hai? na Hai ni kitovu cha ujambazi na ugaidi nchini..(unabisha)???


Sabaya alifanya kazi vyema kabisa


Wala hafungwi, pambana kuongeza kipato tozo isikuumize, maana mlimsema JPM ...mkajua mama atawakumbatia kumbe balaa

Thats why kila post yako ni stress tu zinakusumbua
 
Sabaya ni copy tu,nyuma yake yupo jiwe! Jiwe anastahili adhabu zaidi hata kama yupo kaburini.
Sasa ninyi mtashinda Vita ipi,maana maadui zetu Ni wengi Hadi waliokwisha toweka kwenye upeo wa macho yetu bado mnapambana nao ,Bure kabisa ninyi wafuasi wa mboye
 
Acheni kupoteza muda Wenu fanyeni Kazi za Kuendeleza Familia zenu Kimaendeleo huyu Ole Sabaya hatofungwa na Kesi zote atazipangua ila mtazugwa kwa Yeye kuwa huko Rumande mpaka pale Tukio Kubwa na Baya litakapoandaliwa 'Kimkakati' na Wananchi wengi kuhangaika nalo Kulijadili kwa Mihemko na Kudemka kisha Yeye anaachiwa Huru.
Ni sawa Mkuu. Je huku uraiani atakuwa huru? Je yale matambo na ubabe bado ataendeleza huku uraini??
Hata akiachiwa leo kwisha habari yake.

Makonda si yuko uraiani, je ni yule wa enzi zile za kuzaba vibao hadi Wazee?? Mifano ni mingi.
 
Nina hakika kabisa kuwa huyu Sabaya safari hii hatoboi, licha ya wale wapambe wake kumpigania kuwa nguvu zote😁
Aisee na mimi nilikuwa naomba nakuamini hivyo lakini wasiwasi umeniingia pakubwa sana! Hii mara case ifuatwe mara hakimu atoke kule nk.
Mtuhumiwa mwenyewe kama analala nyumbani kwao????
 
Back
Top Bottom