Sababu za wanaume kutongoza kila mwanamke

Sababu za wanaume kutongoza kila mwanamke

Ww hujui kutongoza ni art... Lazima upige matizi... Kuna saa mtu hana hata time na mwanamke ila anaamua kupasha(kufanya mazoezi)..

Dont get it twisted..
 
Diana Bx unamchumba au mume? Nimekuzimikia gafla kwakweli....
Hebu chungulia pm bhasi... kuna kitu kizuri jamani
 
Last edited by a moderator:
Ni njia ya kipumbavu ya kuonesha manhood yao. Kwamba asipokutongoza utamdharau

Umesahau kwamba unaye kidume Kaunga?

Mie naamini kwamba mwanamume hatakiwa kumtongoza kila mwanamke ila mara moja moja ni muhimu kujaribu kama silaha bado inafanya kazi. Just for fun....!!
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongoz kila mwanamke? unakuta ankutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakin bado anang'ang'ania kukutongoza. Badilikeni acheni hizo tabia mnakera sana.

We ni mzenji au?
 
Swali moja dada angu. Umeanza kutongozwa lini? Cuz I get a feeling it's something you ain't used to.
 
ndo kazi yetu km ni wake za watu si mvae pete za ndoa mbna mtaeleweka au nanyie mnaiba wame za watu??
 
Kutongoza ni sunna hasa mke wa mtu. Kwani hujui kutongoza na k#mt♡mb@ mke wa mtu ni raha sana?
 
Sasa ukinitongoza wewe sinitakuita Malaya .....tuache bhana tunatimiza wajibu
 
Wengine wanatongoza ili kujipima km wana uwezo kiasi gani ktk kumshawishi mke wa mtu ili aweze kukubali.
 
Back
Top Bottom