ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,363
Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
Ataniambiaje hataki kabla sijamtongoza? Nyoosha kiswahili
Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
Kwani kuna haja ya kuwatongoza hawa viumbe miaka hii. Hiyo kazi niliacha mda mrefu sana. Wanatoa bila kuombwa, sasa unapoteza mda iweje.
ahahhahaha baraka ya kutongozwa The Boss? mmmmm hiyo kali kwanza kutongozwa mie naona mtu anakutia dhambi...
Hakuna sababu ni u-kiboro dinda tu, dushe mkononi papuchi kwa jirani
Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
Halafu msipotongoizwa kutwa kucha mnapishana kwenye makorido ya waganga wa kienyeji. Mkitongozwa kutwa kucha kutuita kiboro dinda...
Napenda sana mabinti wenye offensive gesture ambao unaweza kumtongoza hata miaka mitano bila kuonesha dalili ya kukubalia ilihali moyoni akiugulia 'niangusaje'
Kama kutongoza kila mtu ni fahari basi jogoo apewe tuzo
Kama kutongoza kila mtu ni fahari basi jogoo apewe tuzo
Jogoo hatongozi.. Yeye anagonga tu kwa kumtoa mtetea mbio.... YAANI INGEKUWA NDO SISI KAMA KUKU.. NINGESHAKUKIMBIZA