Wanawake mkisema sitaki sio lazima muwe na mnaamanisha
kuna sitaki nataka
Wanasema eti; THE ANSWER IS NO BUT KEEP ON TRYING🙂
Wanawake mkisema sitaki sio lazima muwe na mnaamanisha
kuna sitaki nataka
ahahhahaha baraka ya kutongozwa The Boss? mmmmm hiyo kali kwanza kutongozwa mie naona mtu anakutia dhambi...Unapotongozwa ni ishara bado unalipa
hujazeeka sana
Unaonaje wanaume wakikuona wawe wanakupa tu shikamoo
halafu wanamtongoza shosti wako au housegirl wako?
utajisikiaje?
Vitu vingine ni baraka hujui tu......
Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
Ni njia ya kipumbavu ya kuonesha manhood yao. Kwamba asipokutongoza utamdharau
Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongozaa kila mwanamke? Unakuta anakutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakini bado anang'ang'ania kukutongoza.
Badilikeni acheni hizo tabia mnakera sana.
Ooooh! ES, tena na tena.... mmh nimeshindwa kustahmili !!
Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongozaa kila mwanamke? Unakuta anakutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakini bado anang'ang'ania kukutongoza.
Badilikeni acheni hizo tabia mnakera sana.
Nshakusamehe ES !! naendelea kucheeeeeka.....Nisamehe bure
Unapotongozwa ni ishara bado unalipa
hujazeeka sana
Unaonaje wanaume wakikuona wawe wanakupa tu shikamoo
halafu wanamtongoza shosti wako au housegirl wako?
utajisikiaje?
Vitu vingine ni baraka hujui tu......
Mtu kama ni mke wa mtu kwnn umtongoze? na amekwambia hataki
ndo kazi yetu km ni wake za watu si mvae pete za ndoa mbna mtaeleweka au nanyie mnaiba wame za watu??