Sababu za wanaume kufa mapema

Sehemu ya maisha.

BTW Kuna faida / hasara yyt ya kuishi miaka mingi?

Kifo kipo palepale haijalishi
 
ukikubali kunyanyasika sababu eti watoto watapata shida utakufa asubuhi tu. Mtume IBrahim alimwacha Sarah na ismai jangwani akajikataa, akarudi Ismail kashakua. Sasa wewe endelea kuteseka sababu ya watoto, kikubwa hakikisha unatuma pesa za matumizi na gharama zake za maisha, mama yake mpige chini.
 
Umemaliza kila kitu wewe jamaa hayo ndio maamuzi ya kiume na huu uzi uishie hapa.
 
ukikubali kunyanyasika sababu eti watoto watapata shida utakufa asubuhi tu. Mtume IBrahim alimwacha Sarah na ismai jangwani akajikataa, akarudi Ismail kashakua. Sasa wewe endelea kuteseka sababu ya watoto, kikubwa hakikisha unatuma pesa za matumizi na gharama zake za maisha, mama yake mpige chini.
Hizo pesa unatuma za nini, nunua mahitaji peleka mkabidhi watoto wako wakiona. Kama ni ada shika mkono mwanao nenda nae shule lipa ada. Hawa kina mama wanatake advantage sana ya wanaume, wazee wanakufa wakiwa wapweke kanakwamba hawana damu zao walizozipigania. Toto limehudumiwa kila kitu na baba mpaka elimu ila halina mda na baba yake kazi ni kuimba nani kama mama.
 
Back
Top Bottom