Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,902
Habari zenu Wakuu,
Hizi ndio sababu zinazofanya nimuheshimu Mwanamke/Mke.
1) Mwanaume akiwa kazini asubuhi anakunywa mtori na Chapati akishushia na Soda baridi
WAKATI
Mwanamke anakunywa chai na vitumbua akiwa na watoto.
2) Mwanaume akiwa kazini mchana anakula ugali na pande la samaki.
WAKATI
Mwanamke anakula ugali na maharage na watoto.
USIKU NDIO MUDA PEKEE MKE NA MUME WANAKULA CHAKULA KINACHOFANANA PAMOJA NA WATOTO WAO.
Ushauri
TUZIPENDE FAMILIA ZETU MAANA BILA YA WAO SISI SI LOLOTE.
Mjanja M1 kwasasa napatikana London Uingereza [emoji1022]