OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Mkuu hawajasema kuwa Nassari, anaishi Marekani uwa anakuja Tanzania kipindi cha uchaguzi tu?
Na wewe unaishi wapi????
Mkuu hawajasema kuwa Nassari, anaishi Marekani uwa anakuja Tanzania kipindi cha uchaguzi tu?
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.
Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.
Wajomba zangu waligombania uongozi wa ukoo, ilikuwa bifu kubwa sana!!Nawaunga mkono 100% hapo kwenye red na watanzania wote tuiige mfano huu.
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.
Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.
Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.
Sijui wengine wanasema anavaa hereni ?wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!
pia ni mkwe wa mtuhumiwa wa ufisadi na genge lake kama Laurance Masha,RA,Hamisi Mgeja, na wadau wa Rose Garden!
Huu ndio ujinga unaozidi kumpa umaarufu Lowasa, maana kuna watu wanawashwa bila kumtaja Lowasa.
Wewe ni miongoni mwa ma-bongo lala kwelikweli. Wakati CDM wanang'ang'ania Slaa akgombee huko yeye anajua Kimeru?
Kuwa mkazi maanake nini? Mpendazoe anayelilia mahakama imtangaze mshindi hata kama hastahili ni Makazi wa Segerea kweli si alishindwa huko Shinyanga ndo kakimbilia Segerea? Wenje wa Nyamagana si Mkenya yule? Pole ndugu yangu hapo umetokota.
uongozi wa Kisultani! Thehethehe, Kma ilivyo CDM nenda Kule Bungeni kuna Slaa wawili, Lissu Wawili, Nyerere Kibao Ndesamburo ndo usiseme wamejaa huo siyo usltani?
Hesabu zako za ki-abunuasi bwana nenda nazo huko eti ameteuliwa kwa fedha nyingi, sema ni shilingi ngapi.