Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Muda na sanduku la kura ndiyo mwamuzi wa mwisho
Kwa Tz yetu isiyokuwa na democrasia sidhani kama sanduku la kura ndilo huwa linasema ukweli kwani tume ndiyo inaamua kwakupindisha kura
Muda na sanduku la kura ndiyo mwamuzi wa mwisho
Na kwakuchakachua je?
Muda na sanduku la kura ndiyo mwamuzi wa mwisho
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.
Umenifurahisha sana eti wameru wa Nairobi....sioi ni pandikizi limeletwa ili kuja kuitawala Meru. Hatuwezi ruhusu hili, si kweli kwamba meru yote haina viongozi, sii kweli kwamba koo zote hapa meru zimelaaniwa ila kina sumari na sii kweli kwamba matumbo ya mama wote wa meru yamelaaniwa ila tumbo hilo,... Kamwe hatuta ruhusu ufalme huu kuendelea, hatutaruhusi kuendelea kuzaraulika kiasi hiki, hatuta ruhusu masikira ngama.. na wamasai waendelee kutupangia wawakilishi. Imetosha na imefikia kikomo.
Tutampa mmeru, aliezaliwa meru na anaejua mazingira na mahitaji ya meru..kama hayupo bora tupige kura za maruhani. Wameru wa nairobi na huko Dar hatuwataki na tusiwaone.
Sisi ndio wameru na meru tutampa mmeru mwenzetu tulie mchagua na kamwe hatutaruhisu yeyote atuchagulie mbunge.
Mkuu kuna wakati lazima ukubali kwamba vitu vingine haufahamu, binafsi mimi ni Mtanzania lakini sijui mila na desturi za kila kabila na kila mkoa, lakini nijuavyo mimi ziko sehemu swala la lugha ni moja ya sifa ya mgombea, hili lilimletea shida sana Joseph Kabila kwa kutojuwa Lugha ya Kilingala mpaka ikambidi afanye Alliance na Zanga Mobutu ili apate kura za upande wa wanaozungumza kilingala, kwahiyo si vyema kujifanya unafahamu kila kitu hapa jamvini. wewe unajuwa hili na huyu anajuwa lile, ukiona mtu anajuwa kila kitu basi ana tatizo huyo
Kuhusu swala la Nassari kusema anaishi Marekani ni sawa na kutuambia Lipumba nae anaishi Marekani na Uswiswi, huku ni kupungikiwa na uelewa na sidhani kama unafahamu vyema status ya mtu mpaka aitwe ni mkazi wa nchi fulani, nina uhakika huna ufahamu huo ndio maana unaropoka tu, badilika kifikra mkuu.
Mapenzi mabaya sana Aisee! Sasa mie kujenga hoja kupingana na maneno ya muanzisha hii thread unaniambia na ropoka..
Jamaa yako anasema Siyoi sio mkazi wa Arumeru.
Siyoi hajui Kimeru.
Siyoi amekosa utu.
Siyoi katumia milioni 700..
Sasa hapa sijui nani karopoka au haya maneno maneno unayapenda sababu yanakuliwaza.
Mkuu ushauri wako huu umejaa chuki badalika.
ukabila,maadili,uzoefu,ukaribu kwa jamii na uhuru wa wananchi kujiamulia mamvo yao ni determinants za ushindi!ukabila! sioi haongei kimeru, nasari anaongea kimeru,,,,,,
mkuu hii hawajasema labda wameru wanaoishi dar
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.
mkuu nimecheka mpaka nimeamua kwenda kulala.Mmasai aache udereva wa ng'ombe akapige kelele za siasa uchwara?
Ole saitabau?wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!
Kuna ulazima gani wa kujua kusalimia kimefu? Old school politics! Njooni na points dhidi ya mgombea siyo hizo irrelevants
Zile 700m zilikuwa za nini sasa, hakuna kishindo hapo.