Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

umeshaambiwa wale wachache ( wenye kadi za ccm) waliopata nafasi ya kupewa hela ndiyo walipiga kura za kumchagua sioi , otherwise walio wengi (haijalishi chama) hawaifiki hilo.

mkuu nimeongea na mwanaccm amekiri kwamba fedha iliwazidia nguvu katika uteuzi huo.
 
Ritz uongo umeharamishwa na MWENYEZI MUNGU Nasari anaishi Arusha hajawahi kuishi Mrekani! Usifikiri kwa kutumia moyo wako tumia kichwa!
 
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.

Nadhani 7bu kubwa kuliko zote ni yeye kuwa ccm chama ambacho kinawachukiza vijana wengi ambao wanaamini ya kuwa ccm ndo chanzo cha kila baya tz hii ie umasikini, wizi wa rasilimali zetu, kupanda kwa bei ya bidhaa kila kukicha, mafisadi, mikataba feki na isiyomnufaisha mTz na mengineyo mengi
 
inavyoonekana hii itakuwa ni vita kati ya wameru halisi na wamasai.sumari anaonekana ana influence ya wamasai.
Kwa maoni yangu wilaya ya arumeru iligawanywa katika halmashauri mbili za meru na arusha ili kuepusha mtafaruku huu.
 
Mengi yatatabiriwa. Lakini kwa upinzani kushinda lazima wajue exactly nani anayeamua kwa chaguzi zetu hizi. Igunga iwe ni

fundisho. Wapambane haswa
 
nasari anafahamika na anajichanganya na wananchi.anajua kimeru.

Jibu swali mkuu Nassari anaishi Marekani anakuja Tanzania kwenye uchaguzi tu.

Halafu lugha aina uhusiano na kazi ya ubunge, labda nisaidie ukiwa mbunge ni lazima ujue lugha ya sehemu husika?

Vipi mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia, au Wenje wanajua Kisukuma?

Halima Mdee mbunge wa Kawe anajua Kizaramo na Kimakonde?

Mkuu hii hoja yenu ya lugha ni dhaifu sana.
 
inavyoonekana hii itakuwa ni vita kati ya wameru halisi na wamasai.sumari anaonekana ana influence ya wamasai.
Kwa maoni yangu wilaya ya arumeru iligawanywa katika halmashauri mbili za meru na arusha ili kuepusha mtafaruku huu.
Mpaka hapa umeshanivunja nguvu ya Chadema kushinda jimbo hilo, kama hao wamasai wapenda nyama ndio majority basi andika kwamba CCM imeshabeba hilo jimbo, kitakachofanyika ni kufanya estimation ya ngombe wangapi watachinjwa mwanzo mpaka mwisho wa kampeni. binadamu wenye uchu wa nyama huwa hawaaminiki.
 
Ritz uongo umeharamishwa na MWENYEZI MUNGU Nasari anaishi Arusha hajawahi kuishi Mrekani! Usifikiri kwa kutumia moyo wako tumia kichwa!

Shaddad,
Kweli kabisa mkuu unachosema nadhani umfahamu vizuri Nassari.
 
wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!

Mmasai aache udereva wa ng'ombe akapige kelele za siasa uchwara?
 
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.

Walopiga kura za kumpitisha ni wale wenye kadi za ccm na siyo wameru wote wenye hizo kadi za hawa wezi wa rasilimali zetu
 
Jibu swali mkuu Nassari anaishi Marekani anakuja Tanzania kwenye uchaguzi tu.

Halafu lugha aina uhusiano na kazi ya ubunge, labda nisaidie ukiwa mbunge ni lazima ujue lugha ya sehemu husika?

Vipi mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia, au Wenje wanajua Kisukuma?

Halima Mdee mbunge wa Kawe anajua Kizaramo na Kimakonde?

Mkuu hii hoja yenu ya lugha ni dhaifu sana.

mkuu nadhani unajua chama chako kilivyopata tabu kumteua siyoi.unadhani sababu ni nini?kwa wasukuma inawezekana lugha sio tatizo lakini meru ni tofauti.wananchi wanasema walikuwa wakimuona sumari akipelekwa kanisani na kurudishwa nyumbani kwa gari ,hajawahi kuwa mtu wa mtaani.
 
Jibu swali mkuu Nassari anaishi Marekani anakuja Tanzania kwenye uchaguzi tu.

Halafu lugha aina uhusiano na kazi ya ubunge, labda nisaidie ukiwa mbunge ni lazima ujue lugha ya sehemu husika?

Vipi mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia, au Wenje wanajua Kisukuma?

Halima Mdee mbunge wa Kawe anajua Kizaramo na Kimakonde?

Mkuu hii hoja yenu ya lugha ni dhaifu sana.

Mkuu kuna wakati lazima ukubali kwamba vitu vingine haufahamu, binafsi mimi ni Mtanzania lakini sijui mila na desturi za kila kabila na kila mkoa, lakini nijuavyo mimi ziko sehemu swala la lugha ni moja ya sifa ya mgombea, hili lilimletea shida sana Joseph Kabila kwa kutojuwa Lugha ya Kilingala mpaka ikambidi afanye Alliance na Zanga Mobutu ili apate kura za upande wa wanaozungumza kilingala, kwahiyo si vyema kujifanya unafahamu kila kitu hapa jamvini. wewe unajuwa hili na huyu anajuwa lile, ukiona mtu anajuwa kila kitu basi ana tatizo huyo

Kuhusu swala la Nassari kusema anaishi Marekani ni sawa na kutuambia Lipumba nae anaishi Marekani na Uswiswi, huku ni kupungikiwa na uelewa na sidhani kama unafahamu vyema status ya mtu mpaka aitwe ni mkazi wa nchi fulani, nina uhakika huna ufahamu huo ndio maana unaropoka tu, badilika kifikra mkuu.
 
sioi ni pandikizi limeletwa ili kuja kuitawala Meru. Hatuwezi ruhusu hili, si kweli kwamba meru yote haina viongozi, sii kweli kwamba koo zote hapa meru zimelaaniwa ila kina sumari na sii kweli kwamba matumbo ya mama wote wa meru yamelaaniwa ila tumbo hilo,... Kamwe hatuta ruhusu ufalme huu kuendelea, hatutaruhusi kuendelea kuzaraulika kiasi hiki, hatuta ruhusu masikira ngama.. na wamasai waendelee kutupangia wawakilishi. Imetosha na imefikia kikomo.
Tutampa mmeru, aliezaliwa meru na anaejua mazingira na mahitaji ya meru..kama hayupo bora tupige kura za maruhani. Wameru wa nairobi na huko Dar hatuwataki na tusiwaone.

Sisi ndio wameru na meru tutampa mmeru mwenzetu tulie mchagua na kamwe hatutaruhisu yeyote atuchagulie mbunge.
 
Back
Top Bottom