Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.
 
pia ni mkwe wa mtuhumiwa wa ufisadi na genge lake kama Laurance Masha,RA,Hamisi Mgeja, na wadau wa Rose Garden!
 
hivyo hivyo EL pasi na mtoto wake kua kaolewa na siyoi yeye pia ni mmeru for your info
 
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.

Ikiwa ni hivyo basi CDM njia nyeupe kabisa. Natumaini makundi yataendelea kuinufaisha CDM maana nasikia kundi la Sarakikya bado halijaridhika na uteuzi wa Sioi.
 
mbona mada ipo ki_snitch hata kama ingekuwa ni kweli umeiweka kimbeambea arif
 
hivyo hivyo EL pasi na mtoto wake kua kaolewa na siyoi yeye pia ni mmeru for your info
wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!
 
Mkuu hawajasema kuwa Nassari, anaishi Marekani uwa anakuja Tanzania kipindi cha uchaguzi tu?
 
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.
 
Mkuu hawajasema kuwa Nassari, anaishi Marekani uwa anakuja Tanzania kipindi cha uchaguzi tu?
nasari anafahamika na anajichanganya na wananchi.anajua kimeru.
 
Sijui ni nani atashinda, lakini nakumegea siri kuwa wameru wamekudanganya, wangekuwa wakweli wasingemnyima Sarakikya kura kwa kishindo.

umeshaambiwa wale wachache ( wenye kadi za ccm) waliopata nafasi ya kupewa hela ndiyo walipiga kura za kumchagua sioi , otherwise walio wengi (haijalishi chama) hawaifiki hilo.
 
Back
Top Bottom