Nimekuuliza yale mabutu/kipilipili kwenye "statue" zake zimewekwa kimakosa?
Usijeukasema mbele za wafuasi wa Buddha/Buddhism kwamba asili yake ni Ethiopia! Utapigwa mawe! Ndiyo maana niliandika ...."nothing good comes out of Africa"...
Hawa watu wanakataa ukweli lakini nenda kwenye statue za huyu mheshimiwa utakuwa karibu zote "pua" imegongwa! Ni bahati mbaya? Kwanini wamezigonga pua?
Ni kweli kabisa Gautama alikulia katika familia tajiri sana yenye kila kitu asijue chembe ya maumivu ya binadamu ndio katika safari yake ya kusaka maumivu ya binadamu/ seaching for inner self, human suffering, chanzo chake suluhisho lake/cause n effect na jinsi ya kujikomboa kutoka minyororo ya ego craving nk hata kupata mwanga na furaha ya kweli/supreme happiness na mwishowe enlinghtment/kuangaziwa, ndipo akaacha yote kwa kuyaona si kitu bali vyote vimejaa tamaa na uharibifu wa mwili na roho.
Mhh. Kile hakikuwa kipilipili ni dreads ndogo kutokana na kutochana nywele. Sina usemi zaidi mkuu.
Chukua hii quote....
" Prince Siddhartha Gautama, known as Buddha, a Dravidian, was born around 563 BCE among the Sakya people in Kapilavatthu now Lumini in the lowland Terai region of Nepal, dominated then by the Dravidian (Ethiopian) population. His features, including his thick lips, confirm his Dravidian origin. He gave India Buddhism"
Nashukuru umekuja kwenye mstari...
Kile ni kipilipili na siyo vinginevyo! Leo hii hawakubali kwamba asili yake ni Ethiopia!
Dravidians ni jina walilopewa "blacks" huko nchini India baada ya kuvamiwa na Ariyan na kuanzishwa kwa dini ya Hinduism. Sikiliza/angalia zaidi hapa DR.VELU ANNAMALAI: AFRIKANS (the "Untouchables" "Dalits") IN INDIA - YouTube
India zamani ilikuwa inafahamika kama "Ethiopia ya Mashariki"
Ahaaa. Kumbe ulitaka twende huko? Hapo nimekuelewa vyema. Asante mkuu. Hata wakipinga ukweli utabaki palepale. Nachofurahi ni kuwa Buddha hakufundisha ubaguzi wanaouleta wao. Thanks kwa link mkuu.
Hata Hinduism ililetwa na Waethiopia walioamia India katika shuguli za kibiashara. Same to Judaism ina root Afrika.
Mkuu unamidata aisee....
Kweli kujibu hoja kwa hoja ni raha na mada inaenda vizuri. Ubarikiwe sana na mshana jr pia. Tuendelee kujifunza zaidi. Hivi karibuni nimekuwa nikimfuatilia Louis X aka Farrakhan. Na yeye anamafundisho yake si vibaya kumsikiliza pia

Kiongozi, nimekuuliza kwanini "statue" zote za awali pua ya Buddha imegongwa kupoteza "shepu" ya pua? Je, zilidondoka kwa bahati mbaya?
Mkuu nashukuru sana. Nimekuelewa vyema. Nitakutumia kwa email ileile. Kuna link moja ya African spirituality. Search Google utaona web ya mwanzomwanzo imeandikwa modernghana. Wamechambua mapungufu ya Imani za sasa na jinsi Afrika ilivyosaidia uwepo wa imani kubwa za sasa. Ndipo nilipojua Buddha ni asili ya Ethiopia.
wanajitahidi sana kuuwa kufisha na kupoteza kabisa historia ya Afrika kwenye mambo mema na mazuri, kwa mfano ni wachache mno wanaofahamu kuhusu makanisa ya kale mno yaliyokutwa na wazungu nchini Zimbabwe ukigoogle ancient zimbabwe nafikiri unaweza kukutana na hizo habari
Mhh. Kile hakikuwa kipilipili ni dreads ndogo kutokana na kutochana nywele. Sina usemi zaidi mkuu.
Chukua hii quote....
" Prince Siddhartha Gautama, known as Buddha, a Dravidian, was born around 563 BCE among the Sakya people in Kapilavatthu now Lumini in the lowland Terai region of Nepal, dominated then by the Dravidian (Ethiopian) population. His features, including his thick lips, confirm his Dravidian origin. He gave India Buddhism"
Did you mean 543 BC?
Yes. Link yasema hivyo. Kwanini mkuu? 563 BC