Sababu za vegetarians kutokula nyama

By mngony

hivi hizo vegatables sio viumbe hai? si vina uhai? haya usile kwa sababu unaviua vinahitaji kuishi ni viumbe hai. sasa sijui utakula mawe!
mshana jr tedo Apollo Kichuri hatari

unaweza kutambua IQ ya mtu kwa maneno yake...!​

  • Ndugu yangu kipi hapo hujakubaliana nacho? mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana mkuu. Kupitia meditation na kuishi maisha ya ukweli na yenye reality utaona life katika perspective nyingine kabisa. It will change your life completely. Pia waweza kuangalia YouTube na kusoma vitabu mbalimbali. Hivi vitu sio dini, anyone can do it to connect them self with their heart and mind.

Welcome.
 
Tunazungumzia kula wanyama na si mwanadamu,sina uhakika kama wanyama wana roho
 
hivi Mungu alimshushia nani vile yule kondoo!yule mtume alieamrishwa kumchinja mwanae!
hapa naona watu wanabishana na maandiko ya Mungu.
 
hivi Mungu alimshushia nani vile yule kondoo!yule mtume alieamrishwa kumchinja mwanae!
hapa naona watu wanabishana na maandiko ya Mungu.

hatubishani badi tunapeana ujuzi na maarifa ya imani za wengine, ni vema kujifunza na kufahamu mambo mengi kadiri ufahamu wako utakavyopenda
 
Tunazungumzia kula wanyama na si mwanadamu,sina uhakika kama wanyama wana roho

Kwangu mimi hata mwanadamu ni mnyama. Tofauti ni divinity aliyoumbwa nayo na ufahamu.

Sijui ni jinsi gani nikuelezee kwa sababu mimea na wanyama katika suala la kupata chakula ni tofauti. Kutokana na nature mimea hujitengenezea chakula, na viumbe vinavyobakia hutegemea mimea either directly (mfano swala, mbuzi n.k) au indirectly (simba, na wanyama wala wanyama wanaokula majani) na wengine hutegemea both chains kama sisi wanadami, nguruwe n.k.
 
hv vegetarian wanaruhusiwa kula samaki ?

nikiamua kuwa vegetarian nitafanya hivyo kwa sababu za kiafya na sio imani yaani nyoka anakuja nyumbani kwangu nisimuue kwa sababu ni kiumbe anastahili kuishi? hizi imani ngumu sana.
 
Meditation ni dini niliwahi jiunga na watu wa lifewave society au the path tulikuwa tukikatazwa kwenda kanisani au msikitini
 
nikiamua kuwa vegetarian nitafanya hivyo kwa sababu za kiafya na sio imani yaani nyoka anakuja nyumbani kwangu nisimuue kwa sababu ni kiumbe anastahili kuishi? hizi imani ngumu sana.

Hahahaha. I love this. Hapana, suala ni kuua kwa ajili ya chakula, au kuexploit mnyama mfano kuua kwa ajili ya pembe, ngozi au meno ya biashara. Kujiami ni case nyingine.
 
Hahahaha. I love this. Hapana, suala ni kuua kwa ajili ya chakula, au kuexploit mnyama mfano kuua kwa ajili ya pembe, ngozi au meno ya biashara. Kujiami ni case nyingine.

wengine wanakula nyoka mkuu ndo maana nikasema hizi imani ngumu sana!
 
Vipi ulijifunza pia Kungfu?

na Tai Chi Pia, Kung Fu kama Tai Chi ni michezo inayohitaji vital energy na concentration ya hali ya juu, ni sehemu ya meditation pia kama nyongeza kwa wale wanaopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…