Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 924
Habari mkuu Mshana Jr naomba nisaidie tena hapa. (Samahani nimetoka nje ya mada)[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naomba nipe muda nitakurudia tafadhaliHabari mkuu Mshana Jr naomba nisaidie tena hapa. (Samahani nimetoka nje ya mada)
Kuna website nimesoma inasema kwamba kukaa kwenye chumba cha giza bila kufumba macho (usiku) kila siku kunaamsha hali ya kiroho ya mtu. Wanadai ubongo utazowea na utaanza kubadilisha utoaji wa melatonin na serotonin ambayo huwa inatolewa wakati mtu amelala usingizi na kumfanya mtu huyo aote, ndio inaleta maono na hali ya ufahamu kwa mtu.
Je, Kuna Ukweli wowote kwenye hili hususani kwenye mambo ya spiritual awakening?
Mungu wangu nilikusahau ujueHabari mkuu Mshana Jr naomba nisaidie tena hapa. (Samahani nimetoka nje ya mada)
Kuna website nimesoma inasema kwamba kukaa kwenye chumba cha giza bila kufumba macho (usiku) kila siku kunaamsha hali ya kiroho ya mtu. Wanadai ubongo utazowea na utaanza kubadilisha utoaji wa melatonin na serotonin ambayo huwa inatolewa wakati mtu amelala usingizi na kumfanya mtu huyo aote, ndio inaleta maono na hali ya ufahamu kwa mtu.
Je, Kuna Ukweli wowote kwenye hili hususani kwenye mambo ya spiritual awakening?
Samahani tena mkuu Mshana Jr hii inamaana hata kwa walokole inawasaidia kufungua macho yao ya kiroho? Maana niliwahi kusikia muhubiri mmoja akisema kuwa mkristo hawezi kuwa na macho ya kiroho kama hajajiwekea utaratibu wamaombi ya mikesha. Mtu anapokesha anaweka uhusiano na Mungu na macho yake ya rohoni hufunguka itafika kipindi ataanza kuona maono.Mungu wangu nilikusahau ujue
Ni kweli kabisa na kadiri unavyozidi kukaa macho kizani kuna maumbo mengi hutokea kwenye ulimwengu wa kushangaza kabisa
Kiza hutengeneza maumbo?
Ulishawahi kutembea kizani kwenye giza totoro? Ulishawahi kulala chumba chenye giza mwanzo mwisho? Ulishawahi kuona yale maumbo ya watu na viumbe vya ajabu? Unatembea kwenye barabara yenye miti vichaka na majani unaona mbele yako au pembeni kuna vitu kama watu au wanyama tena vinatikisika au...www.jamiiforums.com
Mikesha inayofungua ufahamu wa ndani ni ile ya kukesha ukiomba na kuabudu kwa utulivu mkubwaSamahani tena mkuu Mshana Jr hii inamaana hata kwa walokole inawasaidia kufungua macho yao ya kiroho? Maana niliwahi kusikia muhubiri mmoja akisema kuwa mkristo hawezi kuwa na macho ya kiroho kama hajajiwekea utaratibu wamaombi ya mikesha. Mtu anapokesha anaweka uhusiano na Mungu na macho yake ya rohoni hufunguka itafika kipindi ataanza kuona maono.
Je, Kuna Ukweli wowote kuwa wakristo mikesha yao inawasaidia kufungua macho ya rohoni bila hata ya kufanya meditation? (kwa sababu wao huwa wanaimba kwa makelele hakuna utulivu).
Na je huwa wanakesha kwenye Giza au huku taa zinawaka?
Huku taa inawaka au Giza?Mikesha inayofungua ufahamu wa ndani ni ile ya kukesha ukiomba na kuabudu kwa utulivu mkubwa
Uko sahihi kabisaKikubwa ni utulivu taa au kiza ni sawa gu na kufumba ana kufumbua macho
Huwa inachukua muda gani mpaka kufikia uwezo huo?Kikubwa ni utulivu taa au kiza ni sawa tu na kufumba ana kufumbua macho
Shukurani sana mkuu[emoji120] kupitia wewe nimekuwa napata elimu adimu na sio mchoyo wa maarifa kama wengine.Inategemea na nguvu ya uchaji uliyonayo lakini ukiwa serious humalizi hata wiki..lakini ni lazima uwe na background ya imani
Je, kahawa inaweza kunisaidia akili yangu isitange tange (Yaani utulivu wa akili) wakati najaribu hili zoezi au haitakiwi itaenda kuniletea illusion nikaharibu?Inategemea na nguvu ya uchaji uliyonayo lakini ukiwa serious humalizi hata wiki..lakini ni lazima uwe na background ya imani
Hapana kahawa ni catalyst! Ni kilevi kwenye haya mambo ni maji tuu.. Na akili ikitangatanga usiizuie utachoka sanaa.. Unajua akili yetu ukitulia mahali ni kama kima au mtoto wa mbuzi haitulii sehemu moja..Je, kahawa inaweza kunisaidia akili yangu isitange tange (Yaani utulivu wa akili) wakati najaribu hili zoezi au haitakiwi itaenda kuniletea illusion nikaharibu?
Mkuu Kuna application nimeziona zina sauti za maporomoko ya maji, sauti za mawimbi ya bahari, sauti za asili kama upepo, mvua, misitu n.kHapana kahawa ni catalyst! Ni kilevi kwenye haya mambo ni maji tuu.. Na akili ikitangatanga usiizuie utachoka sanaa.. Unajua akili yetu ukitulia mahali ni kama kima au mtoto wa mbuzi haitulii sehemu moja..
Yes ni nzuri sana zile..zinaamsha hisia za ndani na kuleta hali tofauti kabisa...ni kama unakutana na asiliMkuu Kuna application nimeziona zina sauti za maporomoko ya maji, sauti za mawimbi ya bahari, sauti za asili kama upepo, mvua, misitu n.k
Je, na hizo zinaweza zikasaidia kuamsha/ kuleta calm mind? au zinaleta illusion kwa meditator?
Mkuu Mshana Jr Kuna uhusiano gani kati ya kufunga (kushinda njaa na kukesha njaa) na meditation?Yes ni nzuri sana zile..zinaamsha hisia za ndani na kuleta hali tofauti kabisa...ni kama unakutana na asili
Ni vitu viwili tofauti kiimani.. Lakini pia chakula ni tiba ya mwili na ni ibada...! Meditation inakufundisha nidhamu mpaka kwenye kula....!Mkuu Mshana Jr Kuna uhusiano gani kati ya kufunga (kushinda njaa na kukesha njaa) na meditation?
Iwe kiimani au ki biolojia (hasa kwenye ubongo)