Nebukadreza
Member
- Dec 31, 2007
- 24
- 50
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.
Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni
1.hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa
2. Hakuchinjwa kwa ajili yao
3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe
Unamaanisha Wakristo,waislam na wengineo ma-roho yetu ni mabaya zaidi ya shetani lakini yote inachangiwa na kudhurumu/kutoa roho na kula nyama za viumbe wapumuao kama sisi wenyewe?mi nimesoma kidogo imani za kibuda na hata zile five prisets(sheria)/misingi yao,nilichokiamini na kikuibwa mno ni kwamba mtu asiekula kitu chenye roho mara nyingi huwa na huruma sana, na hata hawa jamaa wana msingi mzuri sana ktk dini yao, huu uislam na ukristu mbwembwe nyingi mno
Watu wanaishi kama mashetani..uninyime nyama na pombe bora uniuwe tu kuliko kunipa hyo adhabu[emoji23] [emoji23]Sisi wazee wa mbuzi beer,kitimoto nyagi kuku choma...tunawashangaa mno watu ambao hawali nyama....mnakula nini wenzetu??
Kuna Utafiti unasema mimea NATO lina hisia wakati inaliwa...na wengine wakaenda mbali wakisema vegans waanze kula hewa kwakuwa ndiyo pekee mpka sasa haijaonesha kuwa inahisia zozoteMimi pia ni mmoja katika ya watu ambao hawali nyama. Mwanzoni nilifanya kutokana na Imani Yangu, lakini kwa sasa naona umuhimu na faida yake hata kwa nje ya Imani.
Sio tu Buddhism, Hinduism, Rastafaris, Ethiopian Monks, Nazarenes(Jews), na ancient Egyptians hata ukristu kuna makundi yasiyokula nyama hasa ukristu wa kale ulielewa umuhimu wa vegetarianism.
Kihistoria, imani za kale zilianza kuuliza kwanini sisi wanadamu tupo hapa duniani? Nini kinachotutofautisha na wanyama na mimea? Hivyo watu waliokuwa ENLIGHTENED kama Krishna, Buddha, Waisraeli wa kale, waliona umuhimu wa kuishi kwa Amani. Sio kuishi tu kwa amani na mwanadamu mwenzako bali kwa viumbe vyote. Haina haja ya kumpiga mnyama bila sababu na baadaye wakaona hata kumpiga mnyama haitoshi, ili kuwa na amani na kuweza kuboost Third Eye, Karma, na kubalance Chakras zako, Ishi kwa kutoua mnyama kabisa. Kila kiumbe kina haki ya kuishi. Mimea ndio source ya kwanza ya chakula then Nyama ni Secondary source. Haina haja ya kumchinja mnyama na kumla wakati kuna vyakula vingi haviitaji kuua kiumbe. Tunapaswa kuishi kwa kuheshimu all aspects of life duniani. Kuna sababu nao wakaishi hivyo yanini niwaue, nao husikia maumivu, wanyama wanahisia ambazo hata sisi tunazo mfano upendo, huhisi maumivu, n.k lakini pia nao wanahaki kuhishi. Sisi wanadamu tuna akili ya kuwatunza na kuwajali kwani wote tumeumbwa pamoja.
Tatizo ni ego ya mwanadamu kuwa sisi ndio kila kitu na kila uhai wa kiumbe tunaweza kuutoa. Kuwa vegetarian kunakupa sio tu afya ya mwili hasa katika miaka ya vyakula vya madawa bali hata inatupa afya kiroho na kiakili. Ni vigumu kumuelezea mtu. Lakini ni kitu ambacho hakiitaji Kiongozi wa dini, wala kitabu cha dini, ni kitu kitokacho kwa hisia, hisia ya upendo tuliyozaliwa nayo sisi wanadamu kutoka aliyetuumba.
Mi nataka kuacha kula nyama lakin nashindwa nifanyeje?Mimi pia ni mmoja katika ya watu ambao hawali nyama. Mwanzoni nilifanya kutokana na Imani Yangu, lakini kwa sasa naona umuhimu na faida yake hata kwa nje ya Imani.
Sio tu Buddhism, Hinduism, Rastafaris, Ethiopian Monks, Nazarenes(Jews), na ancient Egyptians hata ukristu kuna makundi yasiyokula nyama hasa ukristu wa kale ulielewa umuhimu wa vegetarianism.
Kihistoria, imani za kale zilianza kuuliza kwanini sisi wanadamu tupo hapa duniani? Nini kinachotutofautisha na wanyama na mimea? Hivyo watu waliokuwa ENLIGHTENED kama Krishna, Buddha, Waisraeli wa kale, waliona umuhimu wa kuishi kwa Amani. Sio kuishi tu kwa amani na mwanadamu mwenzako bali kwa viumbe vyote. Haina haja ya kumpiga mnyama bila sababu na baadaye wakaona hata kumpiga mnyama haitoshi, ili kuwa na amani na kuweza kuboost Third Eye, Karma, na kubalance Chakras zako, Ishi kwa kutoua mnyama kabisa. Kila kiumbe kina haki ya kuishi. Mimea ndio source ya kwanza ya chakula then Nyama ni Secondary source. Haina haja ya kumchinja mnyama na kumla wakati kuna vyakula vingi haviitaji kuua kiumbe. Tunapaswa kuishi kwa kuheshimu all aspects of life duniani. Kuna sababu nao wakaishi hivyo yanini niwaue, nao husikia maumivu, wanyama wanahisia ambazo hata sisi tunazo mfano upendo, huhisi maumivu, n.k lakini pia nao wanahaki kuhishi. Sisi wanadamu tuna akili ya kuwatunza na kuwajali kwani wote tumeumbwa pamoja.
Tatizo ni ego ya mwanadamu kuwa sisi ndio kila kitu na kila uhai wa kiumbe tunaweza kuutoa. Kuwa vegetarian kunakupa sio tu afya ya mwili hasa katika miaka ya vyakula vya madawa bali hata inatupa afya kiroho na kiakili. Ni vigumu kumuelezea mtu. Lakini ni kitu ambacho hakiitaji Kiongozi wa dini, wala kitabu cha dini, ni kitu kitokacho kwa hisia, hisia ya upendo tuliyozaliwa nayo sisi wanadamu kutoka aliyetuumba.
Mi nadhani hata sisis ni kama wao tu, maana historia inasema kabla ya ugunduzi wa moto nasi tulikula mbichi. Hii ya kukaanga, kuchoma na kupika ni manjonjo tu, lakini bado nasi tunakula kwa hitaji hilo hilo kama wao. Hizo choices zinaongezeka na elimu, lakini bila hivyo tungekuwa kama carnivores wengine still.Wanakula kushibisha mwili.. Sisi tunatafuta mpaka ladha... Wao hawana mbadala sisi tuna mibadala
Bado nasisitiza kwenye uchaguzi sisi tuna uchaguzi ama mbadala lakini wao hawanaMi nadhani hata sisis ni kama wao tu, maana historia inasema kabla ya ugunduzi wa moto nasi tulikula mbichi. Hii ya kukaanga, kuchoma na kupika ni manjonjo tu, lakini bado nasi tunakula kwa hitaji hilo hilo kama wao. Hizo choices zinaongezeka na elimu, lakini bila hivyo tungekuwa kama carnivores wengine still.
Buddhist wanakula kondoousichanganye buddhism na wachina
Sijui but niliona wahindi wanakula mutton. But budha wenyewe wanasema nyama wanakula ..ambacho hawali Ni nyama ambayo imeandaliwa specific kwa wao..Yani mtu amchinje kuku kwa ajili yao.Sect ipi mojawapo
Buddhism ina sect mbili kubwaSijui but niliona wahindi wanakula mutton. But budha wenyewe wanasema nyama wanakula ..ambacho hawali Ni nyama ambayo imeandaliwa specific kwa wao..Yani mtu amchinje kuku kwa ajili yao.
Buddhism ina sect mbili kubwa
Mahayana... Hawa ni karibia wote wenye asili ama kaliba na uchina
Vajrayana hawa ni wenye asili wote na uhindi....
Buddhism ina misingi kama imani yoyote ile ila huathiriwa na mila desturi na tamaduni
Hoja ya mabudha kula nyama umeijibu vizuri ila ufafanuzi wake huu hapa
M'budha ataruhusiwa tu kula endapo
. hakuna means yoyote ya chakula kingine
. hakikuandaliwa kwa ajili yake
. sio chakula cha biashara
. hakuona mnyama husika akichinjwa na hakuona hata damu yake ngozi ink
. hakuona akiandaliwa mpaka kupikwa
Buddhist wanakula kondoo