Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

UKAWA ndo wanaotawala Dar es Salaam?!Hiki kitakuwa kiama cha dunia- Meya wa jiji la Dar Es Salaam hamiliki wala hana uwezo wa kuamuarisha mgambo wa jiji- mwenye uwezo wa kufanya hivyo ni mtawala -Mkurugenzi wa Jiji ambaye mungu bariki kwa kazi nzuri ya Octoba 2015 ni CCM. Kwa KIFUPI mtawala sharti awe na uwezo wa kuamurisha vyombo vya dola kitu ambako Meya, Mbunge, Diwani hawana; wao ni wawakilishi tu NA MWAKILISHI SI MTAWALA. Kwa hiyo mtoa mada elewa na futa kauli.
 
Kwa hiyo serikali ya Magufuli ni serikali ya wakimbizi wa ndani, yaani an "Internally Displaced Government"?
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Hii ya kwako sio kweli...mimi naipuza...huzijui sababu kwa sababu sio mpango wa awamu ya tano...ni tangu awamu ya kwanza miaka ya sabini.Pole sana
 
13902757_1743787472542969_251262254342322787_n-jpg.374558
 
ovyooo fisiem hawatalipata kamwe jiji mpaka yesu arudi
na wanaenda kupigiwa hukohuko Dodoma wanakokimbilia....wamesahau kwamba hao wapiga kura wanaowahamisha kutoka Dar ndio wale wale waliowaweka UKAWA madarakani? ama kweli ukistaajabu ya SHETANI, utasikia ya CCM!
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.

Serikali kuhamia Dodoma ni jambo limekuwapo tangu mwaka 1972, isipokuwa utekelezaji ulikuwa unasuasua kutokana na kukosekana kwa usimamizi imara. Wizara ya kusimamia ujezi wa makao makuu dodoma pamoja na mamlaka ya kuendeleza dodoma (CDA) zilizowahi kuongozwa na Sita, na Nyang'anyi zilihusika na wizi mkubwa sana wa fedha za ujenzi wa makao makuu hayo, na pale Marehemu Sokoine aliposimamia project hiyo kwa nguvu akafariki prematurely. Hapo Katikakti kumekuwa hakuna msukumo wa kwenda dodoma kwa vile viongozi walipenda kuwa Dar ingawa kulikuwa na sheria inayosema Makao yatakuwa Dodoma.

Ni vizuri sana kutenga Makao makuu ya serikali kutoka kwenye senta ya biashara. Ni Aibu kuwa wakati Nigeria ilipoamua kuhamisha makao yao kutoka Lagos kwende Abuja, ilikuwa ni karibu miaka kumi tangu Tanzania iamue kupeleka makao dodoma. Abuja lilikuwa ni pori tu, lakini leo hii Abuja ni mji mzuri sana wakati Lagos inaendelea kama senta kuu ya biashara.

Mkuu, umeongea vzr sana lakini hii uliyosema hapa ilikuwa ni sababu ya zamani.....sababu ya SASA ni hiyo niliyoandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom