Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Hii si hoja ya msingi. Jaribu tena
 
Dodoma nayo itabadilika sana hasa baada ya ujio wa wasomi wengi toka mawizara mbali mbali na taasisi kubwa za kiserekali.Dar kimeshaeleweka sasa kazi ni Dodoma kuwabadilisha maswauswero si kazi ngumu ni swala la muda tu.
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Story za vijiweni hizo!
 
Hahaha! Hicho ni kibwagizo tu, kwani serikali ya CCM inakwazika vipi kuwa chini ya UKAWA?! After all ni Rais mwenyewe aliyezima figisufigisu za Maccm kukwamisha ujio wa ukawa kwa sababu haino kama kuna tatizo lolote, wacha hizo bhanaa, waachie kina Gado wachore vikatuni kuburudisha watu! Thanks for the humour anyway!
 
Wameamua kuua biashara ya utalii arusha na kilimanjaro kwa kuweka kodi kibao.....tutawafuata huko huko dodoma
Usisahau na kilimo cha mibuni nacho wamekizorotesha makusudi ili mnaoiunga cdm muwe mashetani kimapato. Uongozi wa visasi huu sijui utatufikisha wapi kesho.
 
Kwa hiyo 2020 watakimbilia wapi maana hata hiyo Dodoma huenda wakaipoteza!
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Acha kutoa mawazo yako ya kitoto kiasi hicho afu tukuone na wewe ni analyst. Imebainika kichwani mwako au una credible source of information to substantiate your claim?
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Nyie UKAWA leteeni mabadiliko wananchi mliyowaahidi wana dares salaam ,hizi porojo hazitawasaidia kitu
 
Hahahaha, huo ni uoga wa mwanafunzi alie pigwa mimba na nyumbani awajui so kila kitu anachofanya anaona kasha julikana.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
Tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.{Ni mwaka 1961}
 
Kwani uamuzi wa kuhamia dodoma ni wa leo? Its about time mtu atekeleze ahadi
Watu wengi watakuwa wanajiuliza itawezekanaje serikali hii kuhamia Dodoma ndani ya muda mfupi wakati serikali zote zilizopita, ikiwamo serikali ya muasisi wa makao makuu hayo, Mwalimu Julius Burito, zilishindwa kufanya hivyo. Aidha, kuna baadhi wanadhani huenda serikali inahamia Dodoma kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa. La hasha! Imebainika sababu KUU ya serikali kuikimbia Dar es Salaam ni kuepuka aibu ya kuwa chini ya himaya ya UKAWA, jambo ambalo halijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru wake mwaka 1960.

Kama mnavofahamu, serikali ya UKAWA ndiyo inayotawala jijini Dar es Salaam, baada ya kufanikiwa kunyakua umeya wa jiji na halmashauri mbili kati ya tatu za jiji. Dar es Salaam imekuwa ikiongozwa na CCM miaka nenda miaka rudi lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Dr Edward Ngoyai Lowassa alikuwa mgombea kupitia UKAWA, CCM waliangukia pua. Hili jambo halikuwafurahisha viongozi wa CCM hata kidogo. Baada ya kutupa kete zao zote kulazimisha watawale jiji hili kukwama, sasa wamebakiwa na kete MOJA tu….kulikimbia jiji! Sasa mtu unaweza ukajiuliza: hivi siku UKAWA wakifanikiwa kutawala jiji la Dodoma, serikali itakimbilia wapi tena? Mbona serikali hii inakuwa na uoga wa kike kiasi hiki? Ni suala la kusubiri na kuona itakuwaje.
 
Hii ndio sababu
1470040932690.jpg
 
Wameamua kuua biashara ya utalii arusha na kilimanjaro kwa kuweka kodi kibao.....tutawafuata huko huko dodoma

Unajua mtu akiona uzi huu na sababu hizi anaweza kudhani ni Utani

Huu ndio ukweli aisee

CCM akili zao tunazijua sana.....tunawajua kuliko wao wanavyojijua.....
 
We muongo serikali ni ya watu na kuhamia Dodoma ilikuwa azma ya muda mrefu ilikosa msukumo tu.
 
Back
Top Bottom