Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

Tunazozana tu bure, lkn ukweli ni kuwa kuhamia Dodoma kwa haraka kiasi hiki, faida zake kiuchumi na kijamii ni ndogo mno.

Kuhamia Dodoma ni utekelezaji wa Ilani ya CCM tu, lkn hauna tija kwa taifa kiuchumi.

Vv
 
Kwa hiyo labda jiji likaja kuchukuliwa tena na sisiemu watarudi Dar?
ikiwa jiji la Dar litarudi CCM mnamo 2020 na jiji la Dodoma likaangukia mikononi mwa UKAWA, kuna uwezekano mkubwa wa serikali kurejea Dar. Tuombe Mungu iwe hivyo ili kunusuru fedha za umma zitakazotumika kujenga majengo mapya kwa ajili ya ofisi za serikali jijini Dodoma.
 
hakuna uongo wowote...CCM akili zenu tunazijua vizuri...ndivyo mlivyo
Asante lakini ukweli ndivyo ulivyi bahati nzuri nilikuwepo awamu ya kwanza nikiwa na akili zangu mwanafunzi niliona harakati za Mwl. Nyerere Chamwino ikijengwa kuundwa CDA na hata Bunge kuhamia Dodoma nilikuwepo

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Tunawafahamu vizuri sana na akili zenu.........huu mkurupuko wa sasaivi sababu yake ndiyo hiyo...na tunawafuata huko kuwafurumusha
 
Tunawafahamu vizuri sana na akili zenu.........huu mkurupuko wa sasaivi sababu yake ndiyo hiyo...na tunawafuata huko kuwafurumusha
Ni bora tu wakubali matokeo. Sasa watakimbia hadi lini?
 
Acha waende kwanza wanatubana tu na kuongeza foleni zisizo na sababu.
 
Nilivyofungua hii thread nilitegemea facts kumbe ni upuuzi mtupu wa kupoteza mda wa watu
hata mimi aisee,
natafuta thread inayoelezea kwa nini Mwl aliamua kuhamishia makao makuu dodoma
kama ipo huku
 
SIONI CHA MAANA KWENYE HII THREAD ZAIDI YA........................
POROJO ZA WANYWAKAHAWA VIJIWENI..

Hivi we ulioleta Hii thread nawee ni
Great thinker au Great ignorant?
Bora kukosa pesa kuliko kukosa akili..........
 
Hoja ya kijinga kabsa sijui umeitoa wapi.. Au mlizipata zile posho zenu alizokimbia nazo katibu wenu wa BAVICHA?
 
nmpango wa kuhamia Dodoma ifikapo 2020 upo kwenye ilani yao ya uchaguzi ya 2015-2020. Anachofanya magu ni kuitekeleza tu wala hakuna kuikimbia ukawa wala kukurupuka. ni mpango wao tena wa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom